Search results

  1. B

    Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

    Kashengo, ndoa zenyewe zipi? Hizi za kisasa? Labda za enzi za babu Asprin ndio za kuugulia.
  2. B

    Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

    Wanaodandia treni kwa mbele ndo wanaosahau wajibu wao ndani ya familia, kucheat kumemnogea.
  3. B

    Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

    Hakuna jinsia yenye nafuu hapo, kwani hao wanaume wanacheat na wakina nani? Fifty fifty.
  4. B

    Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

    Wino tena kwenye chapa ya moto..!! Kila mtu akiona kovu, atajua tu ulijaribu kuitoa.
  5. B

    Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

    Duh..! Wewe mkareee, bonge la mchumi. Unajua kubana matumizi, mke na watoto home hawalali njaa. BIG UP!
  6. B

    Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

    Kungekuwa na uwezekano, baada ya kucheat unapigwa chapa isiyotoka usoni (iwe na shetani au vyovyote vile), wasafi wangebakia wachache sana.
  7. B

    Akamatwa kwa kumwingilia mbuzi

    Mwee..!! Napata mashaka.
  8. B

    Mwenzenu nina hasira kila kitu nakiona kibaya..

    Mbona humu JF kuna burudani ya kutosha! Mwenzio nikiona siku haiendi vema, natafuta sredi inayochangiwa na watu waliopinda. Baada ya muda stress zoooote kwao. Pole mwaya, utarudi normal.
  9. B

    Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

    Hata mimi nashangaa...!! Kumbe kuolewa dili eeh..!!?
  10. B

    Nataka kuoa Mwarabu au Muhindi

    Mmmh...! Napita tu.
  11. B

    swali kwa akina dada tu!

    Jamani na wewe Kipipi, uelewi tuuu...!!? Mwenzio anapenda kulamba, mwache aendelee kulamba tu. Kwani ukitaka kupata utamu wa pipi kijiti unafanyaje?
  12. B

    No ndoa kisa hajui ku do

    :lol::lol::lol:..... Rose! Mdogo mdogo basi. Ila nakushukuru sana kwa kunisaidia kumalizia hii siku vizuri, nimecheka sana.
  13. B

    Utafiti wangu: Wanaume hawapendi kuoa wanawake wazuri sana...

    And vice versa. Hakuna upande wenye unafuu, pressure tupu!
  14. B

    Kumbe uchawi upo! Soma hii toka kwenye blog ya mwanamke nyumba

    Baba Sharon, ukitaka toba ya kweli unatakiwa kukiri kwa dhati, na haijalishi uko wapi. Jamaa kateleza kidogo na katambua kosa lake na kukiri, kilichobaki ni maombi tu. Hakuna kimshindacho Mwenyezi Mungu, hakuna mwenye maarifa zaidi kumshinda yeye.
  15. B

    Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

    AshaDii.... Mwingine huyu hapa.
  16. B

    Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

    Aha ha haa...! DA upo? Twende pamoja.
  17. B

    “KUTONGOZA” - Kukubaliwa AMA Kukataliwa…. What gives??

    :lol::lol: Asante kwa kunifurahisha Bishanga. Msumeno lazima ukate tu, ukienda mbele na kurudi nyuma!
  18. B

    Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

    Sijaona kabisa, zaidi zaidi ni kurefresh mind tu!
Back
Top Bottom