Search results

  1. Nkemia

    Tukumbushane ukoloni uliowahi fanyiwa na wazee wako

    Mimi kwakweli sitasahau ukoloni wa Mzee wa kununua stendi ya Tv na kuwa anaisukuma kuipeleka chumbani mara baada ya kumaliza kuangalia taarfa....ki ukweli ule kwangu nilikuona naona ni ukoloni ile mbaya Ebu tukumbushane ukoloni wa hawa wazee wetu wa zaman
  2. Nkemia

    USHAWAHI KUCHANGANYA MSG NA ULIKWEPA VIPI

    Kama kichwa kinavyojieleza Mi niliwahi kuchanganya msg bhana namtumia Dem wangu mmoja hivi ila ikaenda kwa mtu mwingne nae pia alikuwa demu wangu ila nikaikwepa bhana Msg ilikuwa inasema kwamba Beb nikifka hpo nishukie wap? Nikajibiwa Ushikie hapo wapi? Nilivyokwepa Namaansha nikifka kwenu...
  3. Nkemia

    Wanaojenga Mwanza Mje tuuziane Mbao

    Mda mwingne gharama za ujenz huwa sio kubwa kama inavyodhaniwa mara nyingi watu wengi wamekuwa wanauziwa vitu kwa gharama zisizo sahihi hii ni pamoja na kuwaamini mafundi ambao wamekuwa wakipandsha bei ya bidhaa kwa kucheza mchezo mchafu na wauzaji hali ambayo imepelekea bidhaa hasa za ujenzi...
  4. Nkemia

    Nimerud tena

    Mnipokee kwa upya wakuu
Back
Top Bottom