Search results

  1. MAYOO

    Kuhusu msimamo: Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa aina gani?

    Umenena mkuu. Hofu yangu ni tabia za Wabongo, watamwangusha muda si mrefu akiwa anawabembeleza hivi. Hivi kuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi? Bila kutumia nguvu nafikiri anaweza kujikuta hana fedha ya kutosha kuendesha nchi. Muhimu tumuombee mambo yaende vizuri maana yakivurugika tunaumia...
  2. MAYOO

    Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

    Maneno yako yanauma sana. Dunia inamhukumu Lulu akiwa mtoto mdogo sana, sio haki. Hili tukio lilitokea akiwa mtoto, Mungu amsaidie. Maisha yamembebesha mzigo mzito hadi nafikir akiwaza hata yeye hutamani angekufa tu siku hiyo.
  3. MAYOO

    Ukiwa unafanya haya usilalamike mkeo akikusaliti

    Namba 5 na 7 ni ukweli mtupu. Kumbuka kuna wanawake wana kazi nzuri na mishahara ya maana tu (pesa kwao sio tatizo kivile) lakin hizo 5 na 7 zinawakera hadi wanaamua kutafuta pa kupunguza machungu. Wanaume ishini na wake zenu kwa akili......
  4. MAYOO

    Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa!

    Juhudi kubwa inahitajika ktk kuelimisha jamii yetu, kumbe bado kuna wenye mawazo mgando kiasi hiki!!!! Daaaah nimesikitika aiseeee. Hao wateule wa rais kama akina Bulembo wana sifa zipi kubwa kuwazidi wanawake wote Tz? Pasco umekosea, muungwana hukiri kosa. Ila kwa vile unajinadi kutoka...
  5. MAYOO

    Video: Udhalilishaji wa mwanamke kuchapwa viboko hadharani na wanaume, serikali ichukue hatua

    Kama wewe unayeonekana umeenda shule na unaishi mjini lakini bado una mawazo haya!!!!!!Daaaah kazi ipo!Umenifanya nitafakari akili za hao walioko kijijini zikoje.!?? Mila na desturi ni mazoea tu ya kimaisha sio kitu biological, badilikeni muachane na mila za kipumbavu kama hizi. Mijanaume mijitu...
  6. MAYOO

    Ikiwa tuhuma hizi ni za kweli, basi Waziri Ndalichako anapaswa kujiuzulu haraka iwezekanavyo

    Ndalichako ana mtoto mmoja tu wa kiume tena ameoa hivi karibuni. Alishamaliza chuo muda mrefu, huyu mnayemtaja hapa sio mwanae.
  7. MAYOO

    Vodacom ni wezi wa bundle za wateja?

    Aiseeee nilifikiri ni mimi tu kumbe ni kweli hawa voda ni wezi.nilijiunga kifurushi cha 1gb lakin kiliisha ndani ya siku mbili, wakati asubuhi mpaka jioni natumia wi fi ya ofisi!!!!!! Natoka ofsin saa moja jioni!! Hawa voda ni wezi wakubwa. Halafu vifurushi vyao bei juu bado hawaridhiki wanaiba...
  8. MAYOO

    Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    Pole sana mkuu, nimeumizwa sana na maneno yako. Apumzike kwa amani. Wanaomhukumu Mungu awasamehe. Nina experience na maisha ya ughaibuni, ni magumu sana. Nyumbani wanaona umeukata but wewe ndo unakuwa unajua mateso na upweke unaopambana nao. Mlioko ughaibuni Mungu awalinde hakika. let him rest...
  9. MAYOO

    Boss Bima ya Taifa ya Afya (NHIF) jiandae kusimamishwa kazi!

    Mleta thread umefanya jambo jema sana kuanzisha huu uzi. Yaani hii bima ni zaidi ya JIPU, labda tuseme ni donda ndugu. Magufuli sikia kilio chetu wafanyakazi. Hawa bima ukianza kazi tu waanza kukata hata kama hujajiunga, lakin cha ajabu hawatoi hizo kadi haraka kama wanavyochukua hela yako...
  10. MAYOO

    Kimenuka: Mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao

    Ukiona mtu analalamika ujue huyo naye alikuwa jipu. Magufuli ana kazi hii nchi imejaa majipu, hawa nao lilikuwa jipu sugu. Kanyaga twende mr president watanyooka tu
  11. MAYOO

    Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

    Mkuu hongereni kwa kupata mtoto. Nakubaliana na mkeo, acha kumpa lift mwanamke mwingine tena asubuhi na jioni. Jamani tusiwe vipofu ndoa nyingi zimevunjika kwa sababu ya marafiki dizaini hii. Mwanzo anakuwa rafiki mzuri lakin anakuja kugeuka shetani aliyekubuhu. Hivi unaona shida gani kuacha...
  12. MAYOO

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Kamishna wa Uhamiaji...

    Jpm naona ni member humu Jf, kama nakumbuka wadau humu walishauri atumbue uhamiaji
  13. MAYOO

    Hata mimi siasa za CHADEMA naziweza

    Uwe mtu wa kubadilika badilika ili kuendana na kauli mbiu ya lowasa mabadiliko. Unachokisema leo kesho unakikataa mchana kweupe hahahhahahah
  14. MAYOO

    Kwanini Magufuli hajawahi kutamka neno Escrow kinywani mwake?

    Hili ndiyo tatizo ambalo upinzani waliambiwa lakin wakaziba masikio! Kumpokea lowasa lilikuwa kosa kubwa sana tena mbaya zaidi kumpa nafasi ya kugombea urais. Sasa nafikiri mnajionea, mkitaja escrow mnaambiwa na richmond je?!
  15. MAYOO

    Msaada wa chanjo za safari

    Mnazi mmoja hospital
  16. MAYOO

    Tatizo la ukosefu wa haja kubwa kwa watoto wadogo na Vichanga. Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu

    Njia rahisi zaidi ni kumkamulia maji ya nyanya hata vijiko viwili tu, itamsaidia sana. Nimeitumia hii njia mara nyingi kwa mwanangu na imemsaidia sana. Juisi ya ukwaju pia hata kwa watu wazima inasaidia sana.
  17. MAYOO

    Pigeni kura, tume itamtangaza nani hilo niachieni mimi!

    Umeandika vizuri sana, huu ni uchambuzi makini.
  18. MAYOO

    Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Nakubaliana nawe mkuu. Ukienda nje ndo utajua umuhimu wa hizi bomoa bomoa. Wabongo tunaboa sana, kila sehemu hata kama ni barabarani tunageuza sehemu za biashara. Njia za waenda kwa miguu hazionekan maana watu wamefanya parking za bajaji, wanamwaga nyanya barabarani hadi kero. Ukiwagusa kama...
  19. MAYOO

    Mbowe: Waangalizi wa Uchaguzi wana mpango wa kuisaidia CCM

    Kushindwa....wameshashindwa
Back
Top Bottom