Doctrine ya separation of powers ipo very clear, lakini Nchi yetu imekumbatia mentality ya kijinga ya party supremacy. Hali hiyo inasababisha majaji wajione sehemu ya utekelezaji maagizo ya serikali katika judicial system, Rais anamuhukumu Mshitakiwa kabla ata kesi haijasikilizwa, kesi ya Mbowe...
Ni vema ukaeleza mafanikio yako baada ya kukataa hiyo kazi, unaweza kukuta sasa hivi wewe huna kazi bali ni mtu wa kutegemea vibarua na baadaye jioni jioni hivi hukosi maeneo ya mataputapu(chimpumu,dadii,kangara,mwisho saa sita,na nyingine zote kama zile zinazopatikana pale manzese kambi ya fisi)
Dugu yangu ana UTI sugu, ametumia dawa za aina mbalimbali ikiwemo sindano lakini bado UTI ipo mwilini mwake, je wajuzi wa tiba ni kweli hakuna ufumbuzi wa tatizo hilo?
Mambo mengi umezungumza ila kuhusu mahakama tatizo kubwa ni suala la kufanya Jambo la kikatiba wakati nchi yetu haina dini, Sasa hivi mahakama hizo zipo lakini si kikatiba, kwa hiyo kwenye Hilo alikuwa na haki ya kupinga. Wewe umeliweka katika mtazamo wa kichuki zaidi badala ya mtazamo wa kisheria.
Kipato cha Mtanzania ndiyo ilikuwa sababu kubwa ya maharage kutumika kwenye nyumba nyingi. Shuleni huwezi kuwa na bajeti ya nyama kila siku au kila mara kwani uwezo huo haukuwepo, vivyo hivyo kwenye ngazi ya familia, miaka ya nyuma ikipikwa nyama nyumbani ni sherehe ata kwenye familia za...
Habari zenu wana JF,
Nauliza kwa yeyote ambaye ameshawahi kuona dawa hii, D-Mannose, 500 Mg ni Supplement. kama ipo naweza kuipata wapi?
Nitashukuru sana.
Wang'wise sio kila mtu yupo mwanza, nazungumzia Butimba ha haaaaaaaa. Otherwise nami naunga mkono mapendekezo hayo, ni jambo la kijinga sana mtoto wa kike anapelekwa unyago akiwa na miaka kumi au zaidi kutokana na kabila lake, alafu aanze kupractice ngono ten years after, yaani baada ya miaka...
Ni vema kuulizwa kocha wa Timu ya Bush Stars kwani jina KOBELO si geni sana ni mchezaji aliyetoka Timu ya chenga mbili kiatu ambayo ilikuwa adui mkubwa wa Timu ya ngumi mkononi stars.
Kosa waliofanya CUF Maalimu ni kutohakikisha amri ya kuzuia mkutano huo inapelekwa na kupokelewa na CUF Lipumba, ndiyo maana majibu kwa mfano ya kina sakaya ni kuwa hawajapokea amri yoyote kutolewa hukumu na kutekelezwa ni vitu viwili tofauti, ni lazima hukumu ile ingetekelezwa kwa wahusika...
Ile sheria ya Serikali za Mitaa imewafanya Askari wetu kuwa wanyonge sana hasa baada ya kundi la wanasiasa maslahi kuanza kuitumia, Zamani wakati wa awamu ya kwanza pamja na sheria hiyo kuwepo lakini kutokuwepo kwa wanasiasa maslahi kulijenga sana heshima ya Jeshi letu la Polisi. Ni ngumu sana...
Umesema kweli kabisa, Mimi kwa mtazamo wangu kinachtukwamisha watanzania ni Ujinga, Woga na Unafiki, 1 Ujinga kwa sababu watu hawataki kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii 2 Woga, woga huu unatokana na watu wengi kutokuwa na elimu ya kutambua haki mbalimbali za...
Kazi ya Uandishi habari na utangazaji inahitaji kipaji? Unasikitisha sana ndugu yangu,uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana Kama kazi hiyo inahitaji kipaji kusengekuwepo vyuo basi!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.