Search results

  1. Mazengo

    Construction of East Africa’s largest hydropower dam is set to kick off

    President Abdel Fattah Al-Sisi received on Sunday an invitation from his Tanzanian counterpart John Joseph Magufuli to visit Dodoma to put the cornerstone of the Tanzanian Stiegler’s Gorge dam project, according to a statement from Bassam Rady, the presidency spokesperson. In a phone call...
  2. Mazengo

    Samiah Suluhu: Shida ni nini? Mbona umeonekana kununa baada ya kutajwa mgombea mwenza?

    Namheshimu sana Mh Samiah! Issue sio kumfurahisha, usipotoshe mada. Issue ni kwamba kwanini alionekana kua mnyonge wakati ambapo furaha iliyoko moyoni ingepaswa kuakisiwa usioni?
  3. Mazengo

    Samiah Suluhu: Shida ni nini? Mbona umeonekana kununa baada ya kutajwa mgombea mwenza?

    Ndio maana namuuliza hapa jukwaani kwasabau JF ni chombo cha watanzania....
  4. Mazengo

    Samiah Suluhu: Shida ni nini? Mbona umeonekana kununa baada ya kutajwa mgombea mwenza?

    Wanabodi heshima kwenu.. Leo magazeti mengi yametoa picha na mgombea mwenza wa Magufuli na to my surprise, anaonekana kununa tofauti na mategemeo kwamba angeonekana kuwa mwenye furaha usoni kwa kupata fursa ya kutumiakia watanzania katika ngazi muhimu.
  5. Mazengo

    Mengi akumbatiana na Rostam Aziz, Je huu ni mkakati wa team Lowassa kutaka support ya ITV?

    Wanabodi kweli huu sio mkakati wa EL kutafuta kuungwa mkono na ITV. Kumbuka Mengi na Rostam walipoitana fisadi papa na nyangumi.
  6. Mazengo

    Maajabu ya Kisiwa cha Bermuda

    Hapo ni SCOAN wakati wa deliverance....
  7. Mazengo

    Maajabu ya Kisiwa cha Bermuda

    Olele huo uchunguzi ulioufanya nina mashaka nao....Nikuhakikishie yanayosemwa kuhusu Bermuda triangle juu ya mauzauza sii uongo. Wala hulazimishwi kuamini ni kweli kwani hata usipoamini haitabadilisha ukweli uliopo. Katika ile triangle kuna uhusiano na nguvu za giza na wazungu hasa american...
  8. Mazengo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kisima kati ya vitu ambavyo havipendi mvua ni Ufuta. Ufuta ni zao linalostahimili ukame na halihitaji mvua nyingi. Zile mvua za mwanzo zinatosha kabisa, halihitaji mvua za mfululizo kama mazao mengine. Ngeba nimeku-pm.
  9. Mazengo

    Dr. Kigwangala Huru!, Sasa Yuko Live On Clouds Radio!

    Pasco bana...Kwa mtu nguli wa kuanalyze mambo kama wewe kuandika hii garbage inakera sana. Hebu nitajie sehemu moja tu Tz nzima ambapo serikali imewanyang'anya/imewakatalia wawekezaji na kuwapa wananchi wake? Au sehemu ambayo wawekezaji/wageni wanavuna nakuwapa wenyeji fungu ambalo sio kiduchu...
  10. Mazengo

    Tanzania's Mining Industry to Hit U.S. $1.3 Billion By 2015...

    hapo kwenye red....umechemsha mkuu....hakukosea. Minister for.., ministry of...... Ndiyo kiingereza na sio minister of...
  11. Mazengo

    Natafuta machine ya kukata nyama

    Wakuu ninatafuta machine ya kukata nyama (Bones cutter machine) kwa ajili ya butcher langu. Ninaihitaji sana. Hivyo kama kuna mtu anauza au kama kuna mtu anajua zinapouzwa hada dar naomba anijulishe kwa kuni-PM. Thanks!
  12. Mazengo

    Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

    Wakuu jangwani tunakwenda ama hatuendi! Twendeni kwenye somo la katiba, haya mambo ya majimboni nadhani wakati wake ni 2015.
  13. Mazengo

    Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

    Aisee siku hizi Watanzania tumekuwa na tabia ya ajabu sana. Hata kama mtu akifufua mtu mwingine tutaponda tu ikiwa mtu huyo anatoka CCM. Mwigulu simjui lakini to be sincere, anafanya kazi ipasavyo. He is the likes of Zitto, Mnyika, Tundu Lissu etc
  14. Mazengo

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    Jamani Zitto amepangwa kuendesha maandamano mkoa ganiii.......??????Na je ataweka uswahiba wake na JK pembeni na kuanza kueleza ghilba za CCM ndani ya mswada mpya wa sheria?
  15. Mazengo

    Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

    Yaani JF..............We acha tuuuuuuuuuuuuuu
  16. Mazengo

    Natafuta mtu wa kufanya data analysis for SPSS programme.

    mimi ni researcher na nipo naratibu research hapa dar es salaam ktk na nimefanya tafiti nyingi sana. Hua natuima software package mbalimbali kufanya analysis kama SPSS, NCSS, STATA na nyingine nyingi. Nijulishe kama bado hujapata mtu serious wakukusaidia ili nikusaidie.
Back
Top Bottom