Search results

  1. sijuikitu

    Ministry of Farce Affairs aka Foreign Afairs

    Najua watu wa Foreign wana hasira kua tunawasema.....but I hope you will learn something out of this, and you will change for the better.....chukieni weweeee, semeni weee, lakini jifunzeni kitu na mbadilike....kuna mambo ya kurekebisha huko kwenu. Na usituletee mambo ya beurocrasy, sijui...
  2. sijuikitu

    Jinsi ya kutengeneza MATRILLION ndani ya miaka KUMI

    1. Mtafute jamaa mmoja (Jamaa X) kutoka nchi ambayo mnaweza kuipiga kirahisi 2. Piga nae dili mpromise ten percent yake 3. Lipua mabomu mawili matatu kwenye nchi yako kwenye maeneo yanayoweza kuleta hisia kwa wananchi 4. Msingizie Jamaa X kuwa yeye ndio kalipua hayo mabomu 5. Tengeneza...
  3. sijuikitu

    Hivi huyu baba nanihiii vipi?

    Hivi huyu Baba Nanihii vipi? Wenzake tunateseka na mgao na uhaba wa mafuta, yeye anaongelea udini! Ndio hiki ni kipindi cha Ramadhani kwa hiyo kwenye "normal" condition topic ya udini ingeongelewa.....Lakini huoni kua huu sio muda wake? Huoni kua kuna tatizo kubwa sana linaloendelea sasa hivi...
  4. sijuikitu

    Andrew Chenge: Kwangu gamba limeishia kiunoni tu

    We mwanaCCM nini? Sasa unajua kua ni Mafisadi, sasa unashangaa nini kuwa Hawawajibiki? Fisadi = Kutowajibika
  5. sijuikitu

    Jamani huyu my wife vp?

    na huu mgao wa umeme, usiku unaonaje kama amenuna? akinuna kwenye giza unapotezea......au mtekenyetekenye
  6. sijuikitu

    Machangudoa wa UK kiboko,tahadhari kwa wana JF

    Sasa yeye jina lako alilijuaje?
  7. sijuikitu

    Hivi hii ni fashion kwa wadada?

    mi wakiniambiaga hivyo nawajibu hata mimi nina mpenzi ....ngoma dro...twende kazi
  8. sijuikitu

    Sarkozy hali mzigo kweli hapa?

    pumbatupu naona majina yetu wote wiwili yanatufaa.....hongera zako!
  9. sijuikitu

    Spika ambana Waziri Mkulo; Wataka majina waliochukua mabilioni kufufua uchumi

    nilikua najiuliza hivi hii stimulus package wataijadili lini?.....maana imekaa ki EPA EPA tu. Hongera mama kwa kumkamata huyu jamaa.
  10. sijuikitu

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    ulikua hujui?
  11. sijuikitu

    Sarkozy hali mzigo kweli hapa?

    Wadau hapa mnasemaje?.....naona kama vile "hay beibiii, nimekumisije?" Sarkozy (France) na Merkel (Germany)
  12. sijuikitu

    Wabunge wakomaa: Ngeleja, Jairo watakiwa kuondoka; Pinda ataka mjadala uahirishwe kwa siku 21

    tumechoka na hizo megawati....tunataka umeme!...hizo megawati akamege ngeleja na magamba wenzake
  13. sijuikitu

    Ni kweli ZITTO amesema hivi ama?

    "Tanzania Daima Leo habari yao kuu ni 'Kikwete amjenga Zitto'. Nisingeshangaa Kama habari hii ya kizushi ingetoka Jamboleo. Nashangaa habari hii kuandikwa na gazeti linalomilikiwa na Kiongozi Mkuu wa Chama changu. Sijengwi na mtu, NINAJIJENGA!" -Zitto Kabwe Maana hayo maneno kwenye "qoutes"...
  14. sijuikitu

    Dili la mamilioni kwenye Nishati

    Nani anataka tupige dili la mamilioni kwenye Umeme? Yaani tunaenda serikalini, tunaandikishana mkataba wa kuzalisha umeme.....tunamwalika Clinton au Tony Blair.....au kama vipi tumualike Kim Jong Il. Halafu muda wa kuzalisha umeme ukifika, tusingizie hakuna gesi ya kutosha kusukuma...
  15. sijuikitu

    Mwenyekiti wa Bunge chanzo cha kuvuruga amani ndani ya Bunge

    Miss P unatuyeyusha. Watanzania tuna hasira sasa hivi, shauri zako.
  16. sijuikitu

    NSSF wapigwa chini, Kiwira wapewa Wachina; Ngeleja abebeshwa lawama

    halafu baada ya kununua pump tunakodi baiskeli...ambayo baada ya miezi michache hela tutakayolipa itakuwa kubwa kuliko hela ya kununulia
  17. sijuikitu

    Tanzania na huku kwetu

    mkuu, soma kipengele kwenye mabano.
  18. sijuikitu

    Masuala ya ulinzi Tanzania na afrika kwa ujumla

    Akina nani hao watafanya hizo high tech weapons research? UDSM? UDOM? au?.....acha utani wewe!
Back
Top Bottom