Search results

  1. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Mfumo wa kuendesha mambo yetu una makengeza, muafaka usipatikane katika mhimili husika ukapatikane kwenye mhimili mwingine, tunafanya nini? Huku si kuwacheza shere wananchi?
  2. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Wasomi wamekuwa wasaliti wanaotia kichefuchefu. Kama usomi unashindwa kutoa majibu yenye tija kwa umma ni afadhali tuitazame elimu yetu upya kwani tunapotezeana muda. W/Mkuu mpya wa italia amethubutu kwa kuwaengua wanasiasa ambao wanaongozwa na maslahi binafsi kwenye baraza lake la mawaziri...
  3. M

    Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

    Hakikisheni hamsaliti wananchi kwani hali ni mbaya. Usaliti wowote historia itawakumu
  4. M

    Ongezeko la Posho za Wabunge ni Wizi na Dhulma dhidi ya Wafanyakazi

    Wawakilishi hawa ni wanyang'anyi wa jasho la wanyonge. Kama wangeisimamia serikali ipasavyo kuwapatia wananchi huduma stahili isingekuwa tatizo, lakini bahati mbaya taasisi zote mbili ni vipofu walioshikana mikono dhidi ya watanzania wenzao waliowalaghai wawapigie kura wapate kula. Lakini...
Back
Top Bottom