Search results

  1. C

    Natafuta kazi jamani, maisha yangu hohehahe

    Nina stashahada ya ugavi(procurement&supply management), npo dar es salaam. natafuta kazi, kama una workshop yako unahitaji mtu wa kufanya mauzo, kupangilia kwa ajili ya kufanya usambazaji, au kufanya manunuzi nipo tayari tuzungumze. mimi ni muaminifu tena nina hofu ya mungu sio kidogo...
Back
Top Bottom