Search results

  1. D

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    Dosari zilizotajwa ndo kikwazo. Mfano wamesema wapigakura wengine walikuwa hata hawajachukua vitambulisho vyao ZEC, je hawa walipiga kura za kuchagua viongozi wote au wa Zanzibar tu? Wasimamizi wasio waadilifu waliwaongoza wapiga kura wote au kulikuwa na session mbili za kupigakura? Sisi wengine...
  2. D

    Mwakalebela afunika vibaya Iringa (mafuriko)

    Haiwezekeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  3. D

    Mwakalebela afunika vibaya Iringa (mafuriko)

    Haiwezekeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  4. D

    Tanzia: Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Ndugu maneno yako yanatia uchungu zaidi.
  5. D

    Baada ya kuoa/kuolewa, nini umeacha kukifanya?

    Nimeacha kabisa pombe,japo nilikuwa nakunywa mara chache sana yaweza kuwa mara tatu au nne kwa mwaka. Nilivyoona na yeye anapasha tu ikabidi nijitoe tusije kukosa wa kumuonya mwenzake akizidisha.
  6. D

    Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

    Ndo mafunzo ya ujasiria mali wa Nchemba haya.
  7. D

    Hatimaye serikali yaamua kunyoosha mikono... Gesi sasa kubaki Mtwara!

    Wakuu mmesema mengi, wengine kwa ushauri wengine kwa kejeli, wengine kwa pongezi wengine kwa jazba nk. Kwa sisi tulio field sio vibaya tukiwashirikisha japo kwa uchache yale wana Mtwara wanayofikiri na kujua. Wana Mtwara kama walivyo watanzania wengine, sio mambumbumbu kama wengi wenu...
  8. D

    Mtikila amemtaka JK atangaze Kustisha Mradi wa gas Mtwara mara moja Press Leo Traventne Hotel Dar!!!

    Ajira sio lazima ziwe huko viwandani, ajira binafsi nazo ni ajira km mama lishe. Kwa jumla fursa za biashara zitatokana na hao mnaoona nyie wanafaa kuajiriwa viwandani.
  9. D

    Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

    Ametaka kujikweza tu. Nyumba yenyewe sio kivileeee, kalikuwa kabanda ndo anakamodoa modoa siku hizi. Mashauzi tu. Yatamdhuru.
  10. D

    Nyumba ya Mh. Mariam Kassembe sh. 400mil

    Huyu kilichomponza ni kutochukua hatua yoyote pale bodaboda walipomfikishia kilio chao cha udhalimu na udhalilishaji wanaofanyiwa na polisi. Amepelekewa malalamiko ya hao vijana zaidi ya mara tatu yeye akawaona wajinga akakauka.
  11. D

    Sakata la gesi Mtwara: Kauli ya Profesa Muhongo

    Msubiri Pinda arudi dar ndo utajua kama watu wa Mtwara wanajua wanachodai au la.
  12. D

    Huyu jamaa anaitwa MBWIGA WA MBUGIKD ananikosha sana!

    Anasema aliachwa na mpenzi wake kwa vile hakuwa na "umate umate" akiwa na maana ya pesa (mtu kitu).
  13. D

    Ujenzi wa Gas-Pipeline kutoka Mtwara-Dar unaanza kuingia nyongo..

    Kwa nini mnang'ang'ania kuwa umeme uliopo Mtwara unatosha? Tunataka viwanda pia viwepo tena sio tu vidogo. Hatukatai gas kusafirishwa lakini basi na huku tuone faida za kuwapo kwa gas hiyo. Kama mitambo mikubwa itakuwa Dar nani atajali kama Mtwara itaingia gizani, nani atakumbuka kuiweka kusini...
  14. D

    Ujenzi wa Gas-Pipeline kutoka Mtwara-Dar unaanza kuingia nyongo..

    Mbona hii mitambo ya megawatt 18 imeshauzwa kwa serikali na siku yoyote TANESCO wanaanza rasmi kuiendesha. Kwa sasa wafanyakazi wa hiyo Artumus Power LTD ambayo baadae iliitwa Wentworth Power LTD wanasubiri tu notes na mshiko wao waanze mbele. Taratibu zote za kuuziana zimeshakamilika na listi...
  15. D

    Polls: JF Man Of The Year 2011

    Ukigusa tu keyboard yako, utaongozwa moja kwa moja MMU na ID yako juu, Vote for Aspro.
  16. D

    Waziri ananitaka kimapenzi

    Una bahati wewe eeh mpaka nakuonea wivu. Hilo gari lako ni aina gani vile?! Jamani waziri wa nini niambie basi, mbona umependelewa bibie. Kesho akikununulia nyumba usikose kutu - update mbarikiwa tracy. Kwa uelewa wako faraja hii inatosha kwa leo.
  17. D

    Dhana ya polisi jamii na mauaji ya polisi dhidi ya raia

    Hakika, askari polisi walio wengi kwa sasa ni wale watoto ambao aidha walishindikana majumbani kwa wazazi wao na walikwenda CCP wazazi wakitegemea watabadilishwa tabia na hapo hapo kuwin ajira au wale waliofanya vibaya shuleni na ikawa polisi ndio dampo yao. Matokeo yake vijana hawa wameanza...
  18. D

    Walahi mimi sitaki hii

    mie hata kama ni sanamu na nililiona likichongwa sithubutu hata kupita mitaa nitakapoambiwa limewekwa. Sijipendi!!!
  19. D

    Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

    Hakuna bwana, watoto wenyewe bongo flava hawa wanadanganya wazazi wao, mzazi anapewa namba ya mwanafunzi mwingine aliye na nafuu ya matokeo. Unasubiri mwendelezo miezi inapita hakuna kitu, kuja kustuka olaaaa, mpaka aende shule kujua ukweli!!! Matokeo yaje hivyo hivyo live bila zengwe bora tu...
Back
Top Bottom