Watumishi wenu wa mwanza wana Tania ya kutengeneza mazingira ya rushwa hadi wanakera, tumemaliza wiring ya nyumba yetu lakini kumpata masavei inaweza chukua miez mitatu hadi 9... Baada ya hapo njoo kwa wanaohusika na kukuunganishia umeme, process inaweza kuchukua mwaka mzima..
Lakini kwa...
Sijawahi kuona kanisa hapa UDOM, why msikiti?...
Halafu haya mambo ya udini na elimu dunia inabidi yawe na maeneo yake husika.. Kama unataka kusali au kuswali nenda huko ambapo hiyo huduma inapatikana... Hii ni taasisi ya una na sio taasisi inayoshughulikia masuala ya kidini.. Mbona kuna maeneo...
Tatizo wanaenenda kwa mwili sana... Aliposema wanatembea na hirizi viunoni mbona hawakusema athibitoshe?
Useless
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Hakuna malaika mwanamke... Malaika wote ni wanaume....
Malaika hayuko weak kama binadam... Ushauri wangu muache kufananisha vitu vyenye athiri ya dhambi na vitakatifu....
Eti mwenye kazi inayoeleweka... Wewe una kazi gani?
Tangia lini mwanamke una sort wanaume kama jungu... Jipange, wewe hufai kuolewa...
Inamaana koote ulikopita hawajakuona...
Kizuri chajiuza
Habari wana JF wenzangu, Mungu awajalie neema ya uzima.....
Imenibidi nilete uzi huu humu ndani maana ndio eneo la pekee la ku-free up brain....
Imezoeleka, kwa wanawake hasa walio kwenye mahusiano, pale wanapokwaruzana na mpenziwe huwa wana tabia ya kujifanya wanaumwa...
Ukiwa nae karibu...
Maandiko yaliposema Adam na Hawa sio na Huyu hayakukosea.. Sasa mama bhoke yamemshinda, akubali kusaidiwa, peke yake hawezi himili mikiki mikiki ya baba bhoke...
Hata kama ni mara 100000 provided hakuna anayelalamika, kazi acha ifanywe...
Hongera baba bhoke
Habari wanajanvi wa humu ndani.
Huu uzi nimeamua kuuandika usiku huu wa manane kwa sababu hii kitu inaninyima usingizi.
Haipo siku imetokea nimetembelewa na msichana wangu halafu akaniomba dushelele. Kila siku namuanza yeye, halafu hata kama nimemuanza ushirikiano sifuri. Kushika dushelele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.