Search results

  1. M

    Kimeo kipya cha JK China balozi aliyelala usingizi mpaka sasa

    Hii ndiyo serikali yetu kaka na Hadi sasa hata huku nyumbani issue bado Tata Kila siku maisha ya akiwa magumu sana kiasi watanzania wanakata tamaa ya maisha. Dawa ya haya yote ni kuufanyia over hole mfumo wote wa utawala NCHINI kwetu ndipo HIZI KERO ndogo ndogo zitakapopunguzwa kama si...
  2. M

    Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

    OOOH my God help this man here to know that we Tanzanian needs changes so that to move faster than ever towards the so called Development as we stacked on da way for almost 50 years now.Amen!.
  3. M

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Tunachohitaji sisi walalahoi ni mabadiliko ya katiba ambayo yatatuwezesha kuwashitaki mahakamani wezi na wahujumu uchumi wetu wote bila kujali sura ya mtu wala madaraka aliyonayo.
  4. M

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    Mimi namkumbuka kwa haya yafuatayo; 1. Heshima ya mfanyakazi ilirudi. 2. Mkate wa AZAM 350/= shilingi za kitanzania. 3. Nauli ya dala dala kati ya shilingi 100-150 na wanafunzi 50 tu. Na katika hili alikazia kama hamtaki kufanya biashara hii wekeni magari yenu uwani na sisi tutatafuta namna ya...
  5. M

    Ndege ya rais Tanzania ni mali ya CCM?

    Wakichakachua na hii kitu patachimbika hapa. Asante mkuu kwa kututahadharisha katika hili.
  6. M

    Kikwete na Pinda walimuonea Dr. Magufuli! Waliongea naye kabla ya kumzuia kwenye bomoa bomoa?

    Unajua tofauti kati ya KIKWETE na PINDA ukiwalinganisha na Magufuli ni hii, KIKWETE/PINDA hawa jamaa ni wanasiasa kabisaaa na wanasifa za kisiasa kama Unafiki, Uongo, Uzushi na KUjifanya wana busara kidoogo wakati wameshachemka. Lakini huyu MAGUFULI ni mtendaji wa kazi, Mtu anayefuata sheria na...
  7. M

    Kwa mapenzi ya leo!!Mhnnn!!!

    Aaah dunia ndivyo ilivyo kaka na hao ndio mama zetu. Kazi kweli kweli.
  8. M

    Pinda naye asema HAJUI kwanini watanzania ni maskini!

    Huu ni unafiki wa kisiasa hivi ni kweli kuwa viongozi wetu wakuu hawajui ni kwa nini sisi maskini?. Hapana narudia tena hapana tuna wachumi wakutosha na Tafiti zimefanyika nyingi za kutosha na sababu lukuki zimetolewa lakini zimewekwa makabatini tu basi. Hii haiwezekani lazima viongozi hawa...
  9. M

    CHADEMA ilipotosha umma taarifa ya Membe?

    JAMANI SIONI TATIZO LA CHADEMA ila naomba majibu ya serikali kuhusiana na hoja za CDM kuhusiana na taarifa ya Membe kwenye vyombo vya Habari. Kazi ya Serikali si kutetea viongozi waongo bali ni kubuni mikakati ya kutetea na kulinda maslahi ya Nchi na watu wake.
  10. M

    CHADEMA ni wachawi wa upinzani - Mtatiro

    Hivi wadau naomba niambiwe japo kwa kunong'onezwa tu. HIVI CCHADEMA ina maadui wangapi?. Na ni nini hofu ya hawa jamaa wa CCM, CUF, NCCR na TLP kwa CDM?. Mimi naomba nitabiri yaliyotokea kwa TAMBWE HIZA yanaenda kutokea kwa huyu kijana wa CUF si muda mrefu.
  11. M

    ex-girlfriend anataka nizae nae

    Kijana nakushauri umwambie ukweli ule ulioko moyoni mwako ya kwamba sasa wewe ni mme wa mtu na si zaidi ya hivyo!. Na usipokuwa mkweli katika hili kuna hatari mbele yako huu ni uhusiano hatari zaidi kwani ndoa yako iko mbioni kuparaganyika ndugu yangu. Wee acha hiyo habari!!!!!!!.
  12. M

    Tanesco itangazwe mufilisi

    Kwa kufanya hivi najua kabisa siasa haitakuwepo tena kwenye uzalishaji na usambazaji umeme. Ila angalizo tu ni kwamba kampuni hizi zote zisiwe na hawa mafisadi wa KIDUMU kwa kuwa mtoto wa NYOKA NI NYOKA TU watatumaliza hawa.
  13. M

    Hofu ya CCM ni kwa CHADEMA kuwa na pesa?

    Kuwa na pesa si dhambi tatizo ni kwamba watuambie ccm nao pesa zao wanapata wapi?. Hofu inakuja kwa kuwa siasa siku hizi ni pesa na bila pesa hakuna siasa. Je ambaye amegeuza mchezo huu ni ccm ambao wanamiliki serikali au chadema wasio na serikali???. Ccm ina pesa, ina dora na ina wafadhiri...
  14. M

    Profesa Lipumba amshambulia Rais Kikwete

    Yes, aaah samahani ndiyo!. Unajua Mh. Lipumba ni mchumi makini anapokuja kusema hadharani ili kutoa maoni yake kwa kweli tumuache aseme kile ambacho kina maslahi kwa Taifa bila kujali kama yuko kwenye serikali ya UMOJA WA KITAIFA au lah. Lipumba ni mtanzania mwenzetu na ni mchumi makini na...
  15. M

    Sanda yangu nilishaandaa siku nyingi

    Kama ndiyo hivi basi kazi ipo kweli kweli maana thamani ya mtu siku hizi haipo kabisa!.
  16. M

    Nyalando aipepea CCM: Asifia upepo na jua la "Tanzania"..

    Kwa mwendo huu tuna safari ndeefu sana. Kwani mpaka leo kuna mtanzania ambaye hajui kuwa tuna jua zuri saaaana la kuzalisha umeme au tuna makaa ya mawe mengi saana kule kiwila na kama ni nchi ya pili kwa kuzalisha umeme duniani mbona ni nchi ya kwanza kwa kukaa gizani??. Porojo hazijengi nchi...
  17. M

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Magezi acha hasira, DAWA YA MWONGO ni UKWELI TU basi. SUBIRI ALETE USHAHIDI.
  18. M

    Serikali: CHADEMA inapewa pesa kutoka nje kuleta machafuko Tanzania

    Tafadhali sana JOYCE PAUL kama huna takwimu sahihi huna haki ya kuongea. Tunaomba tupe Idadi ya nchi zilizotoa pesa hizo, Bank iliyotumika kupokea pesa hizo, Siku na tarehe ambazo pesa ziliiingia Nchini ili uchunguzi wa kina ufanyike na tulinde utaifa wetu kwa nguvu zote. Rejea AHADI ZA...
  19. M

    Hizi ndizo sababu zinazonifanya nakosa Imani na Serikali ya Kikwete na CCM.

    Ndugu Wakereketwa na Wananchi wenzangu, ni takribani miaka 5 imepita tangu tulipoahidiwa maisha Bora kwa kila Mtanzania ambayo hatuyaoni hadi sasa, na kibaya zaidi hata yule mwanazuoni aliyetunga slogani hii hana Imani tena na kauli mbiu hii japo imeongezwa neno moja tamu saaaaana na chama hiki...
  20. M

    Impact ya maandamano ya Chadema

    Sasa naona mambbo ambayo waliyataka CDM wananchi wanaanza kuyaelewa, ila watendaji wa Serikali yetu wana uwezo mdogo mno wa kuelewa mambo matokeo yake wanakurupuka na mambo ya hovyo hovyo yasiyo hata na tija yoyote kwa Jamii yetu. CHADEMA iongeze nguvu zaidi katika maandamano hasa kwenye kanda...
Back
Top Bottom