Mkuu kumbuka pia hiyo ni mid set yako. Yaani the way you looked at her mwanzoni na sasa hivi is different . try to look ata her from the same angle as you did in the beginning.
Tatizo la taasisi za kiswahili zinaligalize maneno ambayo hayatumiwi na society. matokeo yake hayo maneono kama sharubati ,ngamizi, kihotomotela, tarakinishi hayatumiki na jamii na kama hayatumiki yanalose ligality ya kuwa luhga coz lugha inapaswa iwe conventinal na watumiaji sio watu wachache...
pole dada nashauri achana na mumeo coz ukiendelea atakustress sana. wanaume wako wengi umpata mwingine. ila kuwa makini jaribu kurekebisha some skills kwenye kudo may be mamaako anasurpus. uendako oneza maskills ikibidi muulize mama akufunde how to ride.
Tatizo la taasisi za kiswahili zinaligalize maneno ambayo hayatumiwi na society. matokeo yake hayo maneono kama sharubati ,ngamizi, kihotomotela, tarakinishi hayatumiki na jamii na kama hayatumiki yanalose ligality ya kuwa luhga coz lugha inapaswa iwe conventinal na watumiaji sio watu wachache...
yes tarakilishi unacho sema ni kweli. The problem ya wataalamu wa kiswahili wanaborrow maneno zaidi kuliko kuconceptulize maneno mapya kwenye context ya kiaswahili. Chek maneno kama kihotomotela for ATM jamani tungeweza hata sema " kitoapesa" lingeeleweka zaidi kwa watumiaji this why waswahili...
kama umempenda kwa mguu wa mtoto it might be a problem. nikionacho hapo ulifanya window shopping sababu ilikuwa ni mmekutana stand na kuna mtu alilazimishwa na context ya kuwa mgeni na aendako. please jaribu kumchek kama mnaweza shabihiana kibehaviour.
kwamfano wahehe wameiita smartphone Kipyatililo na wanaelewana sana coz the way simu hiyo inakuwa operated ni sawa na kupyatila ulanzi.so they have conceptulized the new term into their natural environment
Kiswahili kinakuwa kigumu because tumeacha nature ya kiswahili ambacho kinasifa ya kuwa agglutinative lakini tunenda kuazima neno zima toka kusiko julikana tulipachika kwenye kiswahili bila kufuata the mophological nature of kiswahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.