Search results

  1. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA Arusha, Samson Mwigamba asimamishwa uongozi, baada ya kukiri kusema uongo

    CDM hakuna kulea upuuzi! kama ni kweli ametenda adhabu kwake ni muhimu.
  2. K

    Zitto awaaga wapiga kura wa Kigoma Kaskazini

    Zito ameonyesha mfano bora kwa viongozi wapenda madaraka, kuna watu wanang'ang'ania ubunge mpaka wanajiona kama vile wana hati miliki nao. Nyie wabunge wa CCM angalieni mifano kama hii!
  3. K

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Tatizo la wanasiasa wetu ni njaa na kutokujijua wao ni nani katika jamii, kwa kifupi muda wa kuwapa uongozi wa juu wanawake bado kwani huyu hana tofauti na spika wetu aliyewekwa na mafisadi!
  4. K

    Naibu Waziri January Makamba anatembelea Bajaj

    Hiyo bajaji ni mpya hata naironi zake hazijatolewa, si ajabu alikwenda kupiga deal kwenye showroom za wadosi na kujiona bora ajifagilie na ilo. Na picha yenyewe imepatikana kwenye page yake ya twitter. Ni usanii mtupu!
  5. K

    Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

    Lipumba amekwisha kisiasa hivyo inabidi atafute kila aina ya njia kujipatia umaarufu mbele ya wavaa vipedo wake.
  6. K

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Hawa wauaji wamekosea sana ilitakiwa wamuue Kamuhanda anagalau na sisi wapenda haki tufurahie. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  7. K

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Nape na chama chake amechanganyikiwa. Yeye anafikiri watanzania wa leo ni kama wa enzi zile ya 'zidumu fikra za mwenyekiti' watu wana uelewa kwa saaaana kuliko yeye na chama chake. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  8. K

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Hukumu ya walimu imekuwaje wadau? Mwenye news atujuze! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  9. K

    Namkubali mama Tibaijuka, lakini nimeona doa la kwanza kwake leo

    Mama Tibaijuka alikuwa mzuri kipindi yupo UN ila mfumo mbovu wa TZ umeshamuaribu kabisaaa! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  10. K

    Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

    Kamanda huwa hatishiwi nyau bana! Walidhani wakimuhuju G. Lema ndiyo wataendelea na upuuzi wao bungeni? Tatizo CCM hawataki kupokea facts! Na ndizo zitakazo waondoa 2015. Ahadi za JK ni za matirion lakini kila bajeti ikija wanatenga pesa kiduchu za maendeleo sasa kama siyo kujikaa wenyewe CCM...
  11. K

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Majebere nyie CCM mmezoa siasa za woga! Mtu akitaka kuchomoza kukemea jambo mnaitana kwenye vikao vya kutishana. Unaleta hadithi za kale kwa "mfalme akijamba vijakaza vinamsifu huku wakiumia kwa harufu mabay" Mh. Mnyika kawaambia ukweli kwani wamezoea kuharibu stationaries kwa kujaza makablasha...
  12. K

    Panga badala ya Kisu, Binadam mna mambo nyie

    Hii nayo kali! Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  13. K

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    Huna jipya, nawa miguu ukalale. Ni usiku sana kwa mtoto kama wewe kukesha
  14. K

    Wakazi wa jimbo la Kinondoni

    Hata sisi Ilala ni kama tumemtafutia mtu mtaji wa kumpatia pesa ya matanuzi ! Hakuna maendeleo yoyote, hata ndugu zetu wa jagwani walipopata mafuriko huyu bwana hakunia mguu wake kuwapa pole! Hana fadhila wala msaada hata kidogo kwa wapiga kura wake
  15. K

    Unakumbuka haya maneno ya Nyerere?

    Nyerere alikuwepo enzi za WADANGANYIKA lakini kwa sasa hawezi kuwaletea upuuzi huo WATANGANYIKA.
  16. K

    Vigogo tisa wa CCM kuhamia CHADEMA baada ya Mei Mosi

    Imependeza hiyo! Na bado makaburi yataongezeka tu!
  17. K

    Vigogo tisa wa CCM kuhamia CHADEMA baada ya Mei Mosi

    Mtwara ni weupe, na hivi walivyotapeliwa pesa yao ya korosho na serikali ya magamba, CDM wakiwasha moto utaona jinsi utakavyosambaa. It's a matter of time! Soon tunakuja kaka
  18. K

    CCM wazidi kutimkia chadema Mbeya

    She is wellcomed!
  19. K

    Takukuru watawachunguza mawaziri watuhumiwa! Walikuwa wapi hadi mambo yanafika hapa?

    TAKUKURU are always late, na wanapoteza pesa za walalahoi!
  20. K

    KAMATI KUU CCM yawafunga midomo KAMATI KUU CDM

    Kwa mtu makini ni lazima apate wasiwasi juu ya uwezo wa JK kwani uwezo wa kuwawajibisha hao mawaziri upo chini yake lakini kwa kuwa ni mtu ambaye hajiamini alienda kuomba huruma ya CC yake na yeote hii ni kujikosha kwa marafiki zake (mawaziri watuhumiwa ambao inaelekea huo uchafu naye anahusika)...
Back
Top Bottom