Search results

  1. C

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Uliza jukwaa huku hakuna ushauri kuna discussions za legal matters karibu tena.
  2. C

    Ushauri: Tatizo la kutojiamini ninapokuwa naongea mbele za watu

    Kunywa kiroba huta jutia ila angalia huwa ina leta over confidence [emoji23] utani
  3. C

    Zitto Kabwe adaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Chama chake chataka Polisi waseme alipo

    Au mzee wa gwanda ameanza kazi kimyakimya bila kuapishwa
  4. C

    Zitto Kabwe adaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Chama chake chataka Polisi waseme alipo

    Tunaenda mbele hatua tano tunarudi nyuma hatua kumi, ila tutafika tuu.
  5. C

    Zitto Kabwe adaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. Chama chake chataka Polisi waseme alipo

    Yamekuwa ya kutekana tena picha linaendelea si watazamaji
  6. C

    Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Group zuri wanakuja kujiunga mm napita tu
  7. C

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Habari zenu wanajamvi, nimevutiwa na bidhaa za kikuu katika mtandao wa FB. Lakini kinachonipa mashaka hawako tayari wajulikane wako wapi? Msaada kwa mtu ambaye ameshanunua bidhaa katika App hii, nisije ingia kwenye DECI tena.
  8. C

    Kwanini Vibanio vya nguo vinapotea hata ukivihifadhi kwa umakini mkubwa?

    Kila kitu kina expire date mpaka uandikiwe? Vikidumu milele viwanda vitafungwa
  9. C

    Gari Inauzwa

    Hilo tope ni hali nzuri kweli osha basi
  10. C

    Wanaohitaji pikipiki na bajaji kwa bei poa kuliko kote tanzania.

    Mambo haya ndio hatuyataki jr sababu unatangaza biashara halafu bei huweki nini maana yake? Weka bei ya hizo bajaj na pikipiki tukuletee pesa.
  11. C

    Tecno Boom J8 kwa Dar es Salaam inauzwa bei gani wadau?

    Hata huku ukija kichwa kichwa utapigwa pia kuwa makini
  12. C

    Nikon Professional Camera za kisasa kwa bei nafuu sana

    Tupe hizo za agent wa kongo kwa aina na spec kama hiyo tusije chezea za uso
  13. C

    Nikon Professional Camera za kisasa kwa bei nafuu sana

    Hizo mpya au used na weka bei au na wewe dalali?
  14. C

    Hii si haki kabisa, mke wangu ananitesa kitandani

    Toa fursa nikusaidie usiku saa moja tu akirudi kwako hakusumbui tena itakuwa mara moja kwa mwezi na utanenepa pia mateso kwishineye
  15. C

    Najisikia huzuni moyoni mwangu

    Huu unaitwa mkurupuko wa mawazo mi napita tuuu......
  16. C

    Hizi ni dalili za mwanamke anayekupenda kwa dhati toka moyoni, ila hawezi kukuambia

    Hizo nyingi ni town je kijijini ile ya kuongea anavuta nyasi na kutafuna akiwa ameinamisha kichwa chini ni dalili nayo anakupenda
  17. C

    Kamera ya kupiga picha na kusafisha papo hapo

    Nafuatilia nikipata nitakupa mrejesho maana mm mwenyewe niliziona pale kwenye ufunguzi wa daraja la kigamboni wapiga pesa sasa maswali yako nitaenda kuuliza nikizipata na nitaleta full detail ya hiyo labla kama humu jamvini aliyetumia atusaidie
Back
Top Bottom