Search results

  1. Dont

    Nahitaji Projector

    Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu duka wanalouza white boards kwa ajili ya projectors na cable zake ndefu kwa ajili ya ukunbi wa mikutano....
  2. Dont

    Ukodishwaji wa Yanga na dhana na nia njema ya Mkodishaji.

    Hakuna mfanyabiashara yoyote ambaye anafanya biashara ya hasara. Manji ni mfanyabiashara mkubwa. Hawezi kuamua kusamehe deni la 11bn kwa kisingizio cha kulilipa ndani ya miaka 10, kama haoni return. Swali kwa nini hizo fursa anazo ziona sasa ndani ya yanga asizitumie kwa sasa kama mwenyekiti...
  3. Dont

    Profesa Lipumba Asema Hana mpango wa kuhama CUF, ataja Sababu Zilizomfanya Amkatae Lowassa

    Binafsi nimeyasikiliza kwa umakini mkubwa mahojiano ya leo. Nimeridhishwa nanjinsi Masoud Kipanya alivyokuwa anauliza maswali na kujenga hoja. Pamoja na kwamba sitatoa kwa sasa mtazamo wangu kwa majibu aliyokuwa akiyatoa Prof... Tatizo la leo katika mahojiano yale lilianza tu pale alipoingia...
Back
Top Bottom