Watu wameenda sana nje ya mada siwashangai kwa sababu akil ni finyu swala ni kwa nn waajili wanapendelea ivi vyuo na majib yalishatolewa na mtoa mada akakubal kias flan unavyoleta mambo ya kuvulia chup sijui means kila sector wasom wa ivyo ivyo vyuo wanafanya ivyo asee kunaulazima wa kusom ivyo...
Nashangaa mtu anaposema kutoa chupi kwamba na yeye katoa ndo anauwakika yah...kwamba wanaume na wanawake wanatoa chupi sio bs ata wew ulitolewa maana unauwakika sana na kama ud na ifm watoa chupi mbona adi uko nbaa wanavutana so kila sector chup inatoka daaaah yani we bonge la taira...unawaza...
Fanyiwa sana ata vyuo vingine vipo but ombea usikamatwe........ If unabisha sana karibu sana ifm naomba kama umemaliza walete wengine plz watakusimulia na kama tunapendelewa plz mlete ata ndogo ako au ndugu yake apate iyo GPA kubwa na apate ajira soon my dear very soon...
Unajielewa sana kally kallys hawajui hustle tunazo kutana nazo sema acha waongee iyo GPA yenyew pale ni tatizo kuitoa jinsi tunavyo angaika daaah inasikitisha kuona watu wana akili ndogo kias iki hawajui tunachokipata pale eti sometymz GPA ndogo ila tunapita ha ha ha ha ha ha ha ha they know our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.