Search results

  1. I

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Wa -Tanzania ebu funguka nakuona hali tuliyonayo ni CCM wanaoendelea kutuzamisha, kumbuka wameshika nchi hii tangu Nyerere ang'atuke, ndipo chombo kikaanza kwenda mrama hadi leo. Hebu tubadirishe rubani, tuache kuangalia walio kwenye chama tawala wote ni wachakachuaji tu.
  2. I

    kuwa na nyumba ndogo kuna maana gani kitaalamu?

    Nyumba ndogo hujitokeza baada ya 1. Uaminifu ktk tendo la ndoa kupungua au kutofanywa kwa ustadi unaotakiwa. 2. Unatokana na uchu wa ngono unaosukumwa na pepo la ngono. 3. Watu wa jinsi hii wanatakiwa waombewe. Si bure.
  3. I

    Simulewi mwanaume huyu!!!!

    Nakuomba usimwanike mwenzio bali mwelimishe juu ya vipodozi vya wanawake na wanaume na tofauti zake. Asipoelimika atakuwa ni mpumbavu na wala si mjinga. Asante.
Back
Top Bottom