Habari za mchana wana jf
Tarehe 19/11/2016, siku ya Jumamosi kulikuwa na mahafali ya chuo kikuu flani (jina linahifadhiwa). Nilifanikiwa kufika chuoni hapo kusherehekea na mdogo wangu. Sherehe ilikuwa nzuri mpaka mwisho, muda wa sherehe ulipokwisha nilimuaga mdogo angu na kuanza kutoka getini...
Baada ya taarifa kuenea kwamba serikali ina mpango wa kuwasilisha muswada Bungeni utakaowabana watumishi wa umma kwa kupunguza matumizi mbalimbali ya mashirika ya umma ikiwemo kuondoa posho za watumishi wa Umma.
Leo November 8 2016 Serikali imetoa tamko lake kupitia akaunti yake rasmi ya...
October 23 2016
Baraza la halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es salaam lilitangaza ushindi wa nafasi ya umeya kwa Benjamin Sitta ambaye alipigiwa kura na baadhi ya wajumbe. Lakini moja ya headline zilizochukua nafasi kubwa kuanzia kwanye mitandao ya kijamii hadi magazetini ni uhalali wa...
Katika kipindi kumekuwa na vijana weng wanaolalamika kuishiwa au kupungukiwa nguvu za kiume kutokana na kupga punyeto. Naomba tuweze kujuzana, hili tatizo linaweza kutibiwa hospital au kwa miziz tu? Na je kama ni hospital, tiba bora itakuwa kweny private hospital au hzi za serikar? Tusaidiane...
Hi! jf members
Mimi ni mkazi na mzawa wa wilaya ya Mufindi katika mkoa wa Iringa jimbo la Mufindi kusini. Naandika huu uzi kwa masikitiko makubwa sana.
Kwanza tambueni kwamba jimbo la Mufindi Kusini ni miongono mwa majimbo tajiri sana, tumebalikiwa kuwa na utajiri ufuatao ambao ni fursa...
Serikali inakamilisha Muswada wa Sheria utakaoweka wazi sifa za walimu wakiwamo wa vyuo vikuu, msingi na sekondari nchini.
Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Elimu, Sayansi , Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako katika kongamano la kujadili hali halisi ya elimu nchini...
WAZIRI MKUUkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametoa wiki moja kwa Afisa Elimu Mkoa wa Pwani, Yussuph Kipengele kupeleka walimu wa kufundisha masomo ya kidato cha tano na sita katika shule za sekondari za Mkongo na Utete wilayani Rufiji.
Ametoa agizo hilo Jumatatu, Septemba 26, 2016 wakati...
Serikari iliwaahidi vijana kwamba mwez wa tisa itatoa ajira, mpaka sasa zimebaki siku 5 kumaliza mwez lakini hakuna tamko lolote toka serikarini linalohusu ajira kwa vijana.
Rais wetu mpendwa, kipenzi cha maskini wa hili taifa tajiri, tunakuomba japo utamke neno lolote kuhusu ajira kwa...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Kagera umelalamikia kitendo kinachofanywa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutumia janga la tetemeko la ardhi mjini hapa kufanya siasa na propaganda potofu.
Pia umoja huo umeitaka na kuishauri Serikali kuacha...
Kuna rafiki angu ni mfupi wa kati lakini amempata binti wa kichaga ambaye anaupendo sana kwake lakini ni mwembamba alafu ni mrefu kidogo dhidi yake. Jambo la kushangaza ni kwamba mwanaume anasema hawez kumuoa mwanamke aliyemzidi urefu hata kama anaupendo wa dhati.
SWALI KWENU WADAU.
Je ni...
Mubelwa Bandio ambaye ni mtangazaj katika ktuo cha redio huko Washington DC amesema
"Nyie TBC. Mnataka tuuu tuseme.
Nyie si ndio kituo cha TAIFA?
Nyie si ndio mnaoendeshwa kwa kodi ya wananchi?
Nyie si ndio mnaotakiwa kuhabarisha kinachotokea kule ambako radio za kibiashara haziendi?
Si ni...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeomba Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imuombe Rais atoe kibali cha ajira kwa walimu kukabili uhaba unaoikabili nchi.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza alitoa ushauri huo jana mjini Dodoma kwenye kikao kati...
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amesema pamoja na Rais John Magufuli kufanya kazi vizuri, hawezi kurejea CCM na badala yake amependekeza vyama hivyo viwili viunde ushirikiano wao kama ilivyo kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Waziri huyo wa zamani wa mambo ya ndani, pia amesema kuna...
Ukifanya utafiti kwenye magazeti ya leo kwenye ukurasa wa mbele juu ya habari picha kutoka jijini
Mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Magufuli kuna jambo limeniacha hoi....Jana waandishi wa habari walikuwepo na walikuwa na vibali vya Ikulu,lakini picha ya mkutano wa Rais iliyotumika na...
Tanzania Daima: Lissu awafundisha sheria mawakili wa serikali.
NIPASHE: Kibatala tishio, mawakili wa serikali wamgwaya.
MWANANCHI: Nchi yasimama kusikiliza kesi ya Tundu Lissu
MTANZANIA: Lissu ni noma, apangua hoja za serikali, hakimu amkubali.
Je! Gazeti la UHURU litaandika nini? Wadau...
MEZA YA DUARA:
Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani (DW) kesho Jumamosi tar.30 July 2016, saa 7:10 mchana kwa saa za Afrika Mashariki katika kipindi cha "MEZA YA DUARA", itawaweka mezani vijana watatu kutoka nchini Tanzania ambao ni Malisa Godlisten, Rashid Chilumba na Gwapo Mwakatobe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.