kwani kuna tatizo nikipata wa kumaliza nae? na mbona naona 42 ni mdogo kuna walio na 50 na bado wanataka sembuse mimi sioni kama kuna tatizo na hivyo sijamlenga mtu ni fulani so kama wewe hukidhi hilo achia wenzio
Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.
Nashindwa hata kujibu swali gumu. Kwani ina maana hakuna walio na umri zaidi yangu hawajaolewa? mbona wapo wengi tu ni muda tu mungu akikupa anakupa huna haja ya kulazimisha.
Hodi tena kwa mara nyingine wapendwa mimi ni mama wa mtoto mmoja ana 10 yrs na mimi nina 42 ninahitaji mtu wa kuwa nae kama mume awe nae labda ana mtoto angalao mmoja ili tuanzishe familia awe hajaoa. Mimi ni mkristo mlutheri na, nimechoka kukaa peke yangu upweke umenichosha. Kwa aliye tayari...
Nahitaji mume kuanzia 40 na kuendelea, mimi ni single mother nina mtoto mmoja naishi dsm mwenye kunipm tutawasiliana zaidi. Alie serious anipm mkristo kipaumbele zaidi na mcha mungu awe na kazi ili tuweze kusaidiana majukumu
Jana nimeshuhudia kwa macho yangu tena alipewa nafasi ya muda mrefu pale kanisani ya kumwita Prophet TB Joshua jina lake hakika mungu ana makusufi hakuliita bure amesamehewa kwa yote ya nyuma
Glory to God hakika mungu anaendelea kutuponya na udhalimu wetu nampongeza Mwigulu kachagua mahali panapofaa si kwenda kwa waganga haleluya jina la Bwana lizidi kuinuliwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.