Gaspery lasway hii ni ngumu maana itabidi wafanye na forgery ya IMEI ya simu ya mnyika na hapo ndipo penye ugumu maana hiyo kitu huwa recorded automatically na system.
matusi na kashfa zinazotolewa kwa bwn. Kigwangala hazina msingi katika mapenzi ya chama bali katika dhana ya kwamba bwana huyu ameshindwa kusimamia kweli...
Maelezo ya bwn kigwangala hayatupi jibu kwamba endapo bunge lingekuwa la ccm tupu bado wabunge wake wangesubiri hadi wakutane nje ya...
je, wanachama wa kawaida wa CCM nao hawataki mabadiliko ya katiba kama wanachama wenzao wenye hamu na ndoto za kushikilia madaraka? maana sioni kama kuna juhudi za wazi kutoka kwa wanachama wa CCM katika kuhakikisha kuwa viongozi wao wanafanya maamuzi kwa maslahi ya taifa zima badala ya chama...
huo ukumbi wa pius msekwa una uwezo mkubwa kiasi gani? hiyo kamati haikuweza kukisia tangu awali kuwa muitikio wa wananchi unaweza kuwa mkubwa na hivyo kuchagua mahali ambapo panaweza kukusanya watu wengi zaidi au walifanya makusudi?
inasikitisha sana!
paulss, hapa kuna jambo kubwa.
kwa kuzingatia misingi ya haki pande mbili zinapowasilisha arguments zake mbele ya muamuzi ni kwamba muamuzi ni lazima ajiridhishe kuhusu ukweli wa arguments hizo kabla hajatoa maamuzi.
sasa basi kwa msingi huo, ninachokiona hapa ni kwamba kwa kuwa Mh pinda...
kaka yote uliyolalamikia ndio mambo yanayotokea kwenye majukwaa... tofauti ya mitazamo, uelewa na fikra ni kitu cha kawaida katika majukwaa hasa hasa yale ambayo hayana udhibiti wa sifa za kuwa mwanachama.
ukiangalia ni kwamba jukwaa la siasa ndio linalotembelewa sana hapa JF kwahiyo lawama...
kwani hiyo kanuni ilitungwa na CHADEMA? kwani waliotunga hiyo kanuni wakati wanaweka hilo neno "rasmi" walikuwa wanafikiria kitu gani? huyu kiongozi wa kambi ya upinzani ukimpa baraza kivuli la mawaziri ukamnyima usimamizi wa kamati za kudumu ni sawa na kumkata mikono, so i think CHADEMA wapo na...
nimegundua kuwa wewe ni mshabiki mzuri ambae nadhani una urafiki na Kibonde (au watu wenye akili kama za kibonde) au unatumia muda mwingi kumsikiliza kibonde bila ya kufanya tafakari ya unachokisikia.
sasa naomba nikueleweshe kidogo. umezaliwa umezikuta sheria zinazokuongoza, hukuzitunga wewe...
faraji, nimekuchekesha kwa lipi hapo kaka? kama unajaribu kuijibu hoja yangu naomba uainishe maeneo unayoyaona kuwa yana mapungufu, hapo ndio utakuwa umenisaidia na kunielimisha siyo kutoa ka sentensi kamoja ambako hakaoneshi msingi wake ni upi.
karibu sana kwenye jukwaa kaka.
unapokuwa kiongozi , ajenda yako haiwezi kuwa unataka kufanya vizuri zaidi ya fulani, ajenda yako inapaswa kuwa unataka kufanya vizuri, full stop! unapoanza kufanya mlinganisho kati yako na mtu mwingine unawafanya unaowaongoza wajiulize kama umekata tamaa au umeamua kuweka ukomo katika kiwango...
unapokuwa kiongozi , ajenda yako haiwezi kuwa unataka kufanya vizuri zaidi ya fulani, ajenda yako inapaswa kuwa unataka kufanya vizuri, full stop! unapoanza kufanya mlinganisho kati yako na mtu mwingine unawafanya unaowaongoza wajiulize kama umekata tamaa au umeamua kuweka ukomo katika kiwango...
mafanikio ya kutafutwa kwa microscope siyo ya kujivunia kiihivyo. ukiangalia kisekta utakuta kuwa quantity imeongezeka but quality imeshuka mf. kwenye elimu shule nyingi za sekondari na 50% ya wanafunzi wamefeli, afya: majengo ya vituo vya afya vingi lakini havina miundo mbinu ya kitaalamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.