Search results

  1. likemike

    Matonya arudi kwenye mziki

    Nawe unataka promo? Free of charge karibu inbox
  2. likemike

    Matonya arudi kwenye mziki

    Lolote linawezekana, nadhani umekariri... AC Milan haifanyi vizuri sasa, lakini sio kweli kwamba mpira umekwisha, haipo tena..Kama mpira bado unaendelea kuchezwa chances are AC Milan na timu nyingine za Italy zinaweza kutake over, kushikilia soka la vilabu kama vinavyofanya vilabu vya Hispania...
  3. likemike

    Matonya arudi kwenye mziki

    Ni kipi kinalipa jamaa?
  4. likemike

    Matonya arudi kwenye mziki

    Alitoroka hakuaga :D :D
  5. likemike

    Matonya arudi kwenye mziki

    Alikuwa amekwenda China kuchukua poda :D :D
  6. likemike

    Matonya arudi kwenye mziki

    Asee, haya zimefika
  7. likemike

    Matonya arudi kwenye mziki

    Ni vigumu msanii aliyepotea kwenye game kurejea kwa kishindo kile kile. Hii ipo ata kwenye msemo wa kiingeereza – “Golden Chance Never Comes Twice,” – yaani bahati haijirudii mara mbili. Hata hivyo, kuna wakati bahati inaweza kijirudia, kama ilivyokuwa kwa Jay Moe – Pesa Madafu, na sasa Jay Moe...
  8. likemike

    Wakati wa JAMIIFORUMS kurusha live vikao vya bunge umefika

    Mtoa mada uba hoja... Nafikiri live update ianzishwe na JF...kama inavyokuwa kwenye matukio...(sio audio/video) live update thread I mean...
  9. likemike

    Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

    Msomaji mzuri as Guest then akajiunga ili achangie...rudia kusoma tena...
  10. likemike

    Mr. Blue afunga ndoa

    Asee mama Kheri ni kisu balaaa...
  11. likemike

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    Hahaha.. Naoga kutwa mara tatu na sabuni tatu tofauti. Asubuhi ninapoamka, jioni ninapotoka kazini na baada ya mazoezi. Na kabla cjalala naupooza mwili kwa maji baridiiiii kabla cjaupumzisha. .. Upo hapo...
  12. likemike

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    KAGTECH...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  13. likemike

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    Kanisani nimejiunga kwenye kwaya. Kuna warembo balaa na wote wapo single... Can you imagine...
  14. likemike

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    Ila najiuliza tu, mapepo gani hayo yanachochea hisia za kingono kwa fukara kama mimi. Asee kama mapepo yana nguvu kiasi hicho siyachochee nipate ela ajabu nimzidi bakhresa, maela mengi mpaka nshindwe kupita kwenye tundu la sindano Anyway, ngoja niongeze ibada...
  15. likemike

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    Mpoki[emoji15] [emoji15] asee mi si cheusi dawa kama Mpoki.
  16. likemike

    Msaada: Napata mihemko mikali ikiambatana na harufu ya mahaba

    Shaka ondoa, na katelelo unataka? Au matoke na saneno tu?
Back
Top Bottom