Viwanda na hata Mashamba yamegawanyika. K1 iko wilaya ya Kilombero na K2 iko wilaya ya Kilosa. Unaposema Kidatu ni upande wa Kilombero wakati Ruaha / Nyamvisi, Kifinga /Kidodi /Ruhembe mpaka Mikumi ni upande wa Kilosa / Morogoro kwa tetesi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lumbanga ndio kiboko yao. Huyu ni mwenyeji wa Mngeta/Mchombe. Yeye alikuwa anatumia Helikopta kuja Kijijini akitokea Dar kuangalia wazazi wake wakati alikuwa kwenye nafasi nzuri ya kuhimiza utengenezaji wa barabara kutoka Ifakara-Mlimba kwa kiwango cha Lami. Hapo Kijijini hakuna umeme japo Umeme...
Baada ya kujua yote hayo na muendelezo wa utafiti juu ya historia ya TZ ili iandikwe upya; Sheikh unafikiri hiyo kitu itatusaidia nini watanzania ambao tuko kwenye dimbwi la umaskini?.
Mkuu Iseesa,
Kama Maalimu alikuwa na nia ya ZNZ kuwa na Kiti UN (Kwa maana ya kuvunja Muungano) hakuwa na sababu za kumchongea Mzee Jumbe kwa Nyerere wakati ule. Huo ndio Ukinyonga wake na watu huenda mbele zaidi na kusema ni uroho wa madaraka.
Mkuu tatizo letu hatuna vipao mbele katika maamuzi na mipango yetu ya kila siku kama nchi. Tumejaa ubinafsi mno. Hapa watu wametengeza ulaji na kama ulivyosema tutaingia mkataba na Pakistan watushonee vazi la Kitaifa. Siku unapata Kitambulisho chako cha uraia unatakiwa ununue na vazi la Kitaifa...
Mkuu hapa ungelikuwa sahihi kama elimu ya uraia na mabadiliko ya Katiba yamefanyika. Nachelea kusema kuwa bado tuna safari ndefu kuelekea katika ukombozi.
Mara nyingi hii hupangwa kabla. Kazi ni kazi hata ukifiwa na huna ndugu wa kulia watu wapo kwa ajili ya kusherehesha majonzi yako kinachotakiwa ni pesa tu kwa ajili ya kazi hiyo.
Huo ndio ukweli usiopingika ni suala la muda tu.
1. Watu wanapata Hati miliki za ardhi kwa njia za rushwa.
2. Ni lazima uwe na mahali pa kuanzia kukomesha mambo haya.
3. Napenda utendaji wa Magufuri kwa sababu ni mtu anayejaribu kufanya jambo na kusimama katika anachokiamini.
4. Tutaendelea...
Uko sahihi kabisa. Tunahitaji Reli. Tatizo liko kwenye maamuzi na matumizi ya pesa za walipa kodi. Ukiangalia utaona maamuzi mengi na utekelezaji wake katika nchi hii yanafanywa KISIASA. Kwa stahili hii tunasafari ndefu sana kufikia maendeleo.
Sasa huu ni udini au chuki binafsi?. Hivi ni vigezo gani vinatumika kuwa na Tittle kubwa kwenye forum - "JF Senior Expert Member" kwa michango kama hii?.
Polisi wanatimiza wajibu wao ili kulinda amani. Serikali/Halmashauri zinao wajibu wa kubuni vyanzo vingine vya mapato. Si vizuri kumkandamiza Mwananchi / Mkulima kwenye kila shilingi anayojitafuta katika mazingira ya shida kubwa. Amini nawaambia Kilimo cha mpunga ni kigumu sana hasa kama hutumii...
Hii yote ni kutafuta legacy. Hapo zamani za kale alikuwepo JK akamweka AM kuwa Spika na alipoondoka akampigia chapuo mwanamama achukue u-Prezidaa. Kazi kweli kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.