Search results

  1. F

    Picha hii inakupa mtazamo gani.

    Mwanangu hii ni kweli,hapo mtu anakula sound.
  2. F

    maelezo ya hii picha please

    Anakagua miradi ya maendeleo jimboni
  3. F

    Hiki kijungu...mmh

    Cha kawaida sana jamaa,tembea uone! na istoshe hiyo ni picha tu usichanganyikiwe kiivyo.
  4. F

    Akina dada wadogo kiumri lakini matiti yamelala..

    Jiangalie ww na uache fikra za ngono,kwani hata chochote kirushwapo juu hufikia mahala kinaanza kurejea chini'turning point' sasa unataka yasimame hadi wapi na lini!
  5. F

    mume wangu jamani

    Dada juhudi binafsi pia zahitajika huwezi kupiga mzigo kwa kurukia sehemu husika moja kwa moja,mshauriane ww na jamaa yako kabla ya kuingia mzigoni michezo ifanyike kwa sana,yaaani mautundu na maujanja ili kuundaa uhusika,lakini pia hili la maombi kwa muumba bado limeshika hatamu!
  6. F

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Jamani mawazo yenu nyote yataheshimiwa lakini napenda kusema kwamba tuweke mbele maslahi ya taifa letu kwanza kisha itikadi zifuate,kwa sasa tunahitaji tanzania yenye muono mpya na tofauti na si uzoefu uliopitwa na wakati,tukisema tujenge au tunajenga basi iwe hivyo na kwa pamoja na si wengine...
Back
Top Bottom