Search results

  1. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Dr. John Pombe Magufuli ni kama Dr. Nkwame Nkurumah kiutendaji.... Wewe unasemaje? Kama alivyo JPM Dr.Nkwame alikuwa mwalimu msomi sana na alipata PhD yake kutoka University of Pennslvania sasa UPenn (One of the best Universities in the World). Kama alivyo JPM Uzalendo wa Nkurumah ulikuwa...
  2. J

    Msaada: Naomba kujua adoption laws za Tanzania

    Nianze kwa historia kidogo, mwaka 2007 nilimpoteza kakangu mkubwa na mke wake wote kwa pamoja kwenye ajali ya barabarani. Kwenye ndoa yao walifanikiwa kuwa na watoto wawili ambao walichukuliwa na mama yetu mzazi kuwalea. Leo hawa watoto mmoja darasa la saba mwingine darasa la Tano. Xmas...
  3. J

    Wakili wa Professor Monyo Arusha soma hapa kabla ya kukata Rufaa

    Ninaomba Watanzania wenzangu mniunge Mkono kwa hiyo: Pamoja na kukata Rufaa, Wakili nakuomba ufungue concurrent kesi ya kuomba Mahakama kutengua Sheria ya Utumishi wa Wa Umma mwaka 2002 kwa sababu zifuatazo: 1. Sheria inawanyima Watanzania uhuru wao wa Kikatiba ya kufanya kazi na kulipa kodi...
  4. J

    TAKUKURU mkoa wa Arusha acheni kumdhalilisha Prof. Monyo

    Nimesoma kwenye vyombo vya habari kuwa Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha alishitakiwa kwa kosa la kuajiri darasa la saba? Really? Kazi za ufagizi na usaidi kwenye taasisi zina tatizo gani kupewa la saba? Halafu kesi immeendeshwa miaka Sita. Mmeshindwa kuwakata wezi wa Tanzanite, au mmeshindwa...
Back
Top Bottom