Andiko lote limejaa sifa kwa mwendazake, unaonekana ni mnazi wa mwendazake. Btw aliondoa sera ya ukweli na uwazi pia kuweka sheria za takwimu mpya ili mambo yake ayafanyie gizani kama kukuzia uchumi gizani na kupika takwimu ili aonekane shujaa lakini ni yeye aliyevuruga economic system ya nchi...
Maandamano ya wananchi yamebeba ujumbe ambao ni kero, nia yake ni kuhitaji utatuzi. Serikali inaona maandamano ni ya Chadema na sio ya wananchi hivyo haioni kuwajibika kwa hayo wananchi wanayoandamania. Wananchi wakichoka watatafuta namna nyingine ya kutatuliwa matatizo yao wacha awaenjoy lakini...
Hili jambo la Majaliwa kufungua mlango kwa kuupiga na kasia na mhudumu wa ndege naye kuufungua mlango huo kutokea ndani kwa mujibu wa maelezo yao wahusika haikitokea kwa pamoja ndio maana kumekuwa na hoja tofauti zenye kukinzana.
Waliokuwa ndani ya ndege walisema mlango ulipofunguliwa walitoka...
We kolo kaa kwa kutulia boya wewe, tuachie Yanga yetu we ganga ya kwako huko Angola hujajua hata unatokaje.
Sent from my SM-A605F using JamiiForums mobile app
Kwa hali ilivyo sasa hivi bajeti haieleweki kabisa inabadilika badilika sana kwa sababu hata kipato nacho kinabadilika badilika labda nyie wenzetu mnaolipwa mishahara ila kina sisi waganga njaa ni hatari zaidi siku unapokuwa huna kakibarua aisee
Kwa kweli tunapoangalia ubora wa elimu yetu upo chini sana kwa ngazi zote. Yaan unakuta mtu amesoma na mavyeti chungu mzima lakini hana maarifa yoyote. Leo hii watu wanafikia ngazi ya digrii wakiwa wengi sana kama waliohamishwa kutoka shule ya msingi kwenda sekondari ya kata bila kujali vigezo...
Hivi kweli waziri Makamba umeshindwa kuelewa inshu rahisi tu kuwa wananchi wanataka umeme na sio taarifa za tanesco? Sasa idara ya habari na tatizo la kukatika umeme ndio wenye kutatua tatizo? No, hebu kajitafakari upya labda ulikuwa na msongo wa mawazo wakati unatoa maamuzi hayo.
I have nothing to do with that shit ila hata wewe huna hoja za msingi dhidi ya hili nachelea kusema hata wewe huna credibility za kumnanga huyo tulia maana bandiko lako halina mantiki.
Basi NW kwa mamlaka yake alipaswa aanze na hao Latra kwanza ili nao wakafanye majukumu yao. Shida hapa hawa ni wanasiasa na wao wanataka waonekane kwa watu wakiamn kuwa ndio wataonekana wanafanya kazi. Si kweli, waziri kazi yake ni kusimamia wizara amabayo inazo taasisi na idara zinazofanya kazi...
Kwa kweli ustaarabu wetu ni mgumu sana jamii zetu za kitanzania.
Mtu kafiwa bila shaka katumia gharama nyingi tu kuuguza pia bado ana kibarua kigumu tu katika kusitiri marehemu.
Kiubinadamu nzengo ilipaswa kuwa na jukumu la kufariji na kushiriki mazishi kwa mwenzao huyo. Msiba ni jambo gumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.