Hongera mkuuu wa mkoa Dodoma. Umeonyesha leadership. Licha ya makosa kuna kurekebishana bila kudhalilishana mbele ya watu. Matatizo yamesemwa mbele ya watu na hakuna aliyekuwa embarrassed. Then inaweza kufuata face to face kwa anayehusika kujua chanzo cha mapungufu ili kumsaidia kama anahitaji...
Kwa uwezo wa fikra hasi kwenye wachangiaji wengi humu sidhani kama wanajua degree ya kilimo/ mifugo inahusika na nini na hata kama SUGECO wakitoa maelezo hawawezi kuwaelewa.. Degree ya kilimo ni zaidi ya cheti na ni zaidi ya class ya degree yako. Lazima ujue a-z ya operations za kilimo/ufugaji...
Inasikitisha sana kwa vifaranga kufungiwa ndani kwa siku zote hizo hadi vikafa huku "wataalam" wakijua kuwa hawa ni viumbe hai tena dhaifu ambao umri wao ni chini ya siku 5. Sasa hapo sijui kama walikuwa wamejifungia ofisini kwao huku wamewasha AC wakiitisha makaratasi yaende ofisini ili...
Mnawasemea Wakulima kama watu ambao hawajui kitu. Mimi nafanya biashara ya kununua mahindi direct kwa wakulima kwa matumizi ya ndani. na tunapambana na Wakenya. Bei gunia sh 85,0000 hadi 95,000 analipwa mkulima bila Dalali. Miaka ya nyuma angekuwa analamba 40,000. Acha wapone majeraha ya huko...
Huu mchezo wa hawa wabunge unasababisha watu kudemka mitandaoni. Wanakuwa declared na Baraza kuu kuwa wamefukuzwa na kama sikosei na mkutano mkuu baada ya kuchakata rufaa zao. Ingawa mimi si mwana sheria ula nijuavyo (naweza kusahihishwa) utaratibu ni kama wamekata rufaa wanaendelea kuwa wabunge...
Hii ilianzia kwenye kesi ndogo ya nyuma. Wao wanajikita kwenye maswali mepesi mambo makubwa yanawapita. Jaji aliwashangaa kwa jinsi walivyo ruhusu ushahidi kupokelewa wakati walikuwa na nafasi ya kuupinga na hii ilikuwa obvious hata kwa asiye mwanasheria. Sina uhakika wa maswali ya kunywa mo...
Kulikuwa na thread huko nyuma na nilichangia kama ifuatavyo. Nakuunga mkono “ Kama tumeisha amua kwenda na teknolojia ya barabara za kisasa tusiende nusunusu. Funga camera kwenye kila zebra/50kph limit na weka control center moja kila upande ili police waweze...
Kama tumeisha amua kwenda na teknolojia ya barabara za kisasa tusiende nusunusu. Funga camera kwenye kila zebra/50kph limit na weka control center moja kila upande ili police waweze kuona magari yote yanayovunja sheria kwa kutoheshimu vivuko. Protect hizo picha zisifutwe kuzuia rushwa. Ndani ya...
Apumzike kwa Amani. Ila madereva wa serikali na hizo overtake zenu hapana. Sasa ukichanganya na overtake za mabasi inakuwa si hali. Hata kama mnaendesha magari ya serikali (au hata mabasi) jueni ajali haichagui uimara wa gari au status ya gari-nashangaa hata hamuofii maisha yenu wenyewe mnovyo...
Nadhani hayo maventilatora ndo yanawamaliza wazungu. Nyungu na tangawizi/limau vimesaidia sana. Si kwamba ugonjwa haukuwepo au haupo bali watu wanaugua na wanapona. Muitikio wa nyungu na hizo chai ulikuwa mkubwa mno ngazi ya familia. Na Mungu akatuponya. Hivi hayo masuti ya kujikinga na...
Hapa ni kukaa chini muajiri/muajiriwa na kuja na win win situation. Mwalimu anadai alipwe mshahara wakati hajaingia darasani kufundisha na mwajiri anadai hana pesa ya kumlipa kwa sababu chanzo chake cha mapato kimesimama. Wote wapo sahihi. Mwalimu anafikiri mwajiri ana pesa nyingi za ziada...
Siju kwanini huu wimbo haukufanywa kuwa WIMBO WA TAIFA. Una hisia za ajabu na kila mahali nilipobahatika kuona unapigwa ugenini huwa sikosi watanzania wanaotokwa na machozi. Nina imani alikuwa ulimgusa akareact hivyo
Tangu serikali itangaze kuondoa kitengo cha foods toka TFDA hakuna usajili unao endelea. Tukienda TFDA tunaambiwa jukumu limehamia TBS. tukienda TBS wanasema wanasubiri mwongozo wa wizara. Kwa hiyo mambo yamesimama . Hakuna wa kusajili viwanda vya vyakula na htujui hadi lini? Fikiria kiwanda...
Posta kama wanataka kuwin confidence ya wateja lazima wabadilike. Waache kufanya kazi kizamani. Mtu unaagiza mzigo tracking inaonyesha upo posta, ila wanakuambia njoo kesho. Mimi wangu hadi niliprint tracking report nikawaonyesha kuwa wanao mzigo wangu. Ilichukua wiki moja kuupata. Hii si sahihi...
Kwa kweli watu hadi mnakera kwa kujifanya wajuaji na kwa mtindo huu ndo maana ajali haziishi. Huyo dreva wa basi hana ruhusa kuovertake kwenye solid lines hata kama njia ni tatu. Hiyo mistali miwili inakataza katakata asiovertake na sababu ni kuwa anayekuja mbele yake karuhusiwa kutumia njia ya...
Shida hapo ilikuwani
1) Uzoefu mdogo wa kutunza vifaranga waliototolewa. Niliwahi kufanya huo mradi kwa kuanza na kuku 7 na wilifika hadi 800 ndani ya mwaka mmoja. Ila batch ya kwanza ya vifaranga ilikufa kalibu yote ndo nilajifunza makosa. Baada ya kurekebisha makosa kazi ilikuwa nyepesi.
2...
Kwanza uandishi wako . Degree imeshindwa kukufanya uandike neno “mpaka” vizuri hadi uandike “mbaka” ? Tena si mara moja. Pili mtiririko wa mafanikio yako ni kama mtu aliyekaa chini na anabuni afanye nini atoke. Ni vizuri kushare mawazo yako ila si vizuri kutaka tuamini kuwa ndo uhalisia. Your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.