Search results

  1. mkute

    7 characteristics of a good wife

    https://kanyaga.blogspot.com/2019/07/7-characteristics-of-good-wife.html
  2. mkute

    7 Characteristics of a good wife

    Nothing is so complicated and more confusing as when the time of looking for a wife material comes especially in this century where every woman you see is cute and beautiful. To consider that here we provide to you some characters that will assist you in this now days hard time of finding who...
  3. mkute

    Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Watu wengine haifai hata kuandika elimu zao inatia kichefuchefu!
  4. mkute

    WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

    Love you all Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
  5. mkute

    Tukio gani linakufanya uamini kuwa Mungu yupo?

    Nilivamiwa na majambazi nyumbani kwangu wakiwa na silaha amini usiamini baada ya kuvunja mlango na kuingia ndani waliganda kama dakika tatu bila kuzungumza wala kufanya kitendo chochote kisha wakatoka mbio bila kufukuzwa na mtu lol hakika Mungu yupoo!
  6. mkute

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    @Dar24News Breaking News: Vurugu zaibuka bungeni jioni hii, Home - Dar24
  7. mkute

    Madai yaliyosambaa hivi kuhusu msukule si kweli

    Wachawi wanateteana hapa,kama hawapendi mambo yao kuonekana ni bora waache uchawi wao wa kufanya watu misukule vinginevyo watazidi kuumbuka na nyie mnaotetea ndio mnaumbuka hivoo!!
  8. mkute

    Kikwete a smart Man that I know

    Siddhani kama naweza kusupport serikali ya ccm kwani kopo la chooni huwezi kunywea maji wala juice hata uliosheje! hivo magufuli hawezi kuibadilisha ccm dawa yake ni kuing'oa tu!
  9. mkute

    Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    Hata Mimi Nashangaa Kwanin Hakusema Mahakamani, Na Akisema Sasa Atapaswa Kuchukuliwa Hatua Za Kisheria Maana Lazima Mhusika Ni Yeye Tu,acha Ccm Wamdanganye.
  10. mkute

    Star Tv mmenikera sana mimi mtazamaji wenu

    Mimi siku zote nasema Tanzania waandishi wa habari ni wachache sana,wengi wao si waandishi wa habari bali ni wafanyakazi wa habari tu,lazima tutambue tofauti hiyo.Mfanyakazi wa habari yeye anachojali ni bora kazi na sio kazi bora,tofauti na mwandishi wa habari yeye anatamani siku zote habari...
  11. mkute

    Kuna hitilafu Gridi ya Taifa? Umeme wakatika ghafla nchi nzima...

    Ayii! Hii Nchi Bana Tunaongozwa Na Vipofu Kwao Giza Ndio Maisha! Hivi Ingekuwa Vipi Vyombo Vya Usafiri Taa Zao Zingetegemea Umeme Wa Tanesco Au Labda Tungekuwa Na Treni Za Umeme? Si Ingekuwa Balaa!
  12. mkute

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 22 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Jamani hili limekaaje,huyu mheshimiwa anasema kero haiondoki bila damu kumwagika,haiwezi ondoka kwa karatasi.mawazo haya aliyochangia kwenye bunge la katiba anatufundisha nini sisi wananchi ambao serikali mbili pamoja na hili lichama la ccm ni kero kubwa inayotakiwa kung'olewa wala sio kuondolewa!
  13. mkute

    Hivi watanzania tumerogwa?

    Kabla na baada ya kupata uhuru mpaka mwanzoni mwa miaka ya tisini watanzania tuliheshimika sana kitaifa na hata kimataifa,ilikuwa ni jambo jema kujitambulisha kama mtanzania unapokutana na iwe mgeni kutoka afrika ama ulaya na asia,ilikuwwa ni heshima kubwa kipindi hicho,wahenga walisema mgema...
  14. mkute

    CCM wapata ajali mbaya ya gari Kalenga, waumia vibaya mno!

    Walitoka Kuwanga Nini? Cdm Tuna Mungu Hatulogeki, Chezea Pipooooz Power, Ni Power Ya Sir God Mwenyewe, Ccm Kaeni Mbali!
  15. mkute

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa kwa maendeleo!
  16. mkute

    Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

    Mvi zingine sio alama ya busara alizonazo mtu wengine ni alama ya wizi mkubwa mkubwa!
  17. mkute

    Mwigulu Nchemba kutikisa London Uingereza, Marekani aacha historia

    Hana lolote na chama chake cha madawa ya kulevya(ccm) labda kafata mzigo!
  18. mkute

    Dr. Slaa amuige Mnyika kujibu tuhuma za Mtela Mwampamba dhidi yake

    Kama unataka kujua historia ya Dr. nenda TBC ukaulize kwani wamewahi kufanya mahojiano na baba mzazi wa Dr. Slaa,kipindi cha kampeni 2010,waliokutuma hawana kumbukumbu,wambie ukiwa mwongo usiwe msahaulifu! kwa faida yako hata jina SLAA halitamkwi hivyo kiiraq ni S'AA pole kwa njaa zako!
Back
Top Bottom