Search results

  1. Aurthur

    Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    The Great inajaza kuanzia saa 6 usiku mpaka kule bondeni Kitambaa saa 2 ishajaza Kama una akili timamu bora ukaenda The Great kuliko kitambaa cheupe sababu mambo yaliyopo kitambaa cheupe hata the great yapo isipokua mashoga tu
  2. Aurthur

    Msaada twiter yangu niki log in inagoma

    Twitter ukiwa Tanzania bila VPN hutoboi
  3. Aurthur

    Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Kinyerezi mpigie uyu anayo nyumba ya bei io na izo viru zote 0677314296
  4. Aurthur

    Waliokuwa wanamshangilia na kumsifu anayejiita 'Mdude Chadema' wako wapi?

    Umasikini unakufanya uwe na chuki tafuta hela hudumia familia yako na wazazi wako kama bado wako hai
  5. Aurthur

    DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Mataga bana[emoji16][emoji16][emoji16]
  6. Aurthur

    DPP, TAKUKURU na Polisi: Wasikilizeni CHADEMA. Kuna jinai kubwa imetendeka

    Huwezi kumfukuza mtu bila kumsikiliza lazima wasikilizwe hata kumfunga mtu kuna process
  7. Aurthur

    Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

    Unatukana ili iweje .. binafsi nilikuwa kwenye io meli siku io Katukane ndugu zako sio kila kitu ulete dharau bana kama unaona huwezi kuandika bila kutukana watu pita katukane boda boda wa mtaani kwako
  8. Aurthur

    Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

    Ni kweli ilizimika mara 3 muda tofauti tofauti
  9. Aurthur

    CHADEMA, nini sasa kwenda mbele?

    MATAGA mnahangaika sana[emoji16][emoji16] tulieni achaneni na CHADEMA bana
  10. Aurthur

    R.I.P brighter monday gone too soon? Tunalipi la kujifunza kwa kifo chake?

    Hata cv people Africa wamefunga office zao Tanzania
  11. Aurthur

    NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Mungu akusaidie akili nzuri
  12. Aurthur

    Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Hujui kuitumia na huna account kule baki instagram kwa wehu wenzio
  13. Aurthur

    Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

    Watu wa kawe tumepigwa[emoji16][emoji16]hakuna mbunge pale kuna ujinga ujinga tu
Back
Top Bottom