Search results

  1. Nicksixyo

    Diamond na Gari lake Jipya

    Yeah
  2. Nicksixyo

    Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Mwambie ahangaike na boriti kwenye jicholake kabla hajahangaika na kibanzi kwenye jicho la chadema
  3. Nicksixyo

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Mungu akurehemu rafiki yangu mpendwa... Wote tupo njia hoyo kaka Mohamedi Mtoi. Hatujui nani anafuata. Maisha haya ni mafupi, na wote tupo hapa ni mavuno ya Mungu wetu. Nazidi kumwomba Mungu aipe familia nguvu na ustahimilivu wakati huu mgumu wa majonzi.
  4. Nicksixyo

    Mume wangu ananipa wakati mgumu kipindi hiki nikiwa na ujauzito wake, hanijali

    Ujauzito wake....!!!?? Ulipokuwa na ule ujauzito wa yule mwanaume mwingine jeee... alikujali? Basi usibebe tena ujauzito wake! Beba wa mwingine
  5. Nicksixyo

    Siri ya Lowassa yavuja

    Kama imevuja panda juu ukazibe mrudi wazimu wewee? Mtatafutana mchawi msipate, tumieni hadi makamba au mfufueni Nyerere mtakuta kabadilika wala si mwana ccm.
  6. Nicksixyo

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Wape facts mkuu kwamba we don't give a shit kwa swala la asset na liability, hiyo kakaaeni na Slaa na upumbavu wenu swala mezani ni CCM kuwa chama cha upinzani that's all dudes!
  7. Nicksixyo

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hiyo sio shida mkuu swala ni ccm kutoka. Hatuna shida na Lowassa hata akianzisha chama chake akiwa ikulu Idiot youu
  8. Nicksixyo

    Mahakama ya Ufisadi-UKAWA wakwepa hoja hii ya Magufuli

    Simiyu yetu kwa ulichoandika utakuwa lazima UNAGIGIDWA ... Pole sana kwa mawazo finyuuu ptyuuuuu
  9. Nicksixyo

    Lowassa anaonekana kuongoza kwenye media..... tuthibitishe hili kwa kupiga kura

    Najua Malimao ni dawa ya watu kama wewe Bgwajima alishasema myatumie kupunguza maradhi mliyonayo. Utateseka sana moyoni usikiapo "Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ndugu Edward Ngoyai Lowassa".....
  10. Nicksixyo

    Lowassa anaonekana kuongoza kwenye media..... tuthibitishe hili kwa kupiga kura

    Ama kwa hakika hata wake kwa waume swala la penzini mioyoni ni Lowassa hata kwene ndoto za usiku ni Lowassa.!! Ukigombana na mwenzi wako anakwambia " Lowassa jamani nisamehee"" hata chai asubuhi unasema " nimiminie Lowassa"
  11. Nicksixyo

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Tunamtoa Magufuli na li ccm lake kwa kura sio kwa mtutu wa bunduki. Na atakaezuia kura zetu kwa kufanya chakachuo na kutumia nguvu ya dola the hague inamsubiri na wapo hapa nchini wanaangalia.
  12. Nicksixyo

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mimi hata Lowassa mwenyewe akisema hataki kura yangu na kunitukana nampa kwanguvu atapike kama inakichefuchefu kwake.!!
  13. Nicksixyo

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Akashighulikie ndoa yake kwanza aache kukaa na mchumba muda wote huu. Anahangaika na ccm wakati serikali hiyo ilimnyima kufunga ndoa na mke wa mtu. Ana shida nyingi sana huyu Slaa anahitaji councilor
  14. Nicksixyo

    Hakuna namna yeyote ya kumzuia LOWASA kuingia ikulu mda wa ukombozi ndio huu tujikaze tuvuke ng'ambo

    Lowassa for our feature. Matapishi na choo ni yeye mwenyewe aliyetaja. Anatokea mlango wa nyima anaingilia wa mbele serena Hotel...!!!
  15. Nicksixyo

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Mamayake mjomba wake shangazi yako...!!!
  16. Nicksixyo

    Pamoja na ujio wa Lowassa CHADEMA, Dr. Slaa ni chaguo sahihi kugombea Urais

    Hivi kweli umeacha kufanya shughuli zako ukakaa muda wote huo kuandika huu UTUMBO WA MBWAA..!! Kweli ww jin lako la ubatizo ulitakiwa uitwe IDIOT au labda una ugonjw wa Idiotizimaizationalisim kwenye Medulla yako...!!!
  17. Nicksixyo

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Duuuuuuuhhh kweli watu mnapenda utamu
  18. Nicksixyo

    Mashindano ya Magari katikati ya mji Arusha

    Waondoe watoto barabaranii basi mkuu
  19. Nicksixyo

    Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli ajiunga na CHADEMA rasmi

    Acha nyegesho toa habari vizuri mwanzo mwisho... Acha kudang'adang'a....!!!
Back
Top Bottom