Search results

  1. N

    Vifahamu vyeo vya askari polisi wa Tanzania na alama zake

    Hawa wazee wenye hizo VV au VVV ni vyeo vya ihsan au vina vgezo kuzingatiwa? Maana inaonesha hadi kuifikia nyota moko kazi ipo!
  2. N

    Sheikh Ponda augua rumande

    Aamiin. Aamiin. Aamin.
  3. N

    Sheikh Ponda augua rumande

    Wewe ndio unayo? Sheikh tupo nawe katika duaa zetu. Hakuna mchaMungu akose mitihani. Pepo ni ngumu.... Wafuasi wa paulo mbona wanamtukuza wakitaraji pepo...sijui pepo itatolewa na nan?
  4. N

    Msaada juu ya malipo ya bima ya gari:

    Inategemea na wakala anao watumia. Wakala wengine ni usumbufu sana.
  5. N

    Najuta: nilioa mke kwa kuvutiwa sura na umbo lake

    Ameshindwa kumwacha mbele ya wazazi wake wapendwa! Kwa paroko wao ndio ataweza??? Endelea kusubir mpaka utolewe roho yako!!
  6. N

    Nimeanza kazi New Habari Corporation jana, nikatambulishwa leo

    Nawe siufunguke alichokikosea...mie naona amepatia sana.
  7. N

    tufungukeni majina ya wanyakyusa...naaanza

    Hua yakiwa na tafsir zake ....sasa huzijui?
  8. N

    Wanawake muolewe na wanaume wenye nyumba tayari

    haya ndio matatizo ya kuzaliwa katika familiya za kichovu...kisha uliposoma na watoto familiya zao zinajimudu...ukapata marafiki wakikukaribisha kwao...unakula na kijuchangaya nao...wakipelekwa beach...na sehem za raha...ukijihisi unafaa kuwa kama wao. Sasa unakuja JF kuwatafuta wenye nazo...
  9. N

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Buguruni kwa mnyamani. Mnyamani=Mwinyi Amani. Huyu mzee alikuepo maeneo hayo....
  10. N

    Nimesikitishwa na Watanzania!

    Waweza kuhamia huku...ntakusaidia permision ya kuishi hapa Canada.
  11. N

    Nini msukumo wako kujiunga na JF

    nilijoin...baada ya rafiki yang mpendwa huko bongo alikponielekeza...pia nilipenda forums za JF na michango inayochangiwa. Naipenda sana vile napata taarifa tele za huko Bongo...na sehem zote Dunian.
  12. N

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Huu ***** ...japo umejaa hikma kwa mbali. Asie kujua asifuate ushaur au mafundisho yako!.
  13. N

    Nikifa Nitaitwa Hayati au Marehemu???

    Sie waislam hatuna kuitana Hayati...hayati ni uzima. Tunaitana Marhuum...ina maana mtu mwenye kurehemewa...anaehitaji kuombewa na kuhurumiwa zaid...simwajua hatujui...kama ni mwema anaraha ndani ya kabr...au anpata adhab ndan ya kabr. Hayo majina mengine yanaitwa kutokana na mazingira ya...
  14. N

    Re: Ujinga

    Ujinga kudanganywa na mwanao!
  15. N

    Max Shimba

    Manabii wa uongo kazi wanayo!. Bora uhukumiwe na Mungu wa ukweli....!
  16. N

    Clouds fm inaliangamiza taifa

    We aunt taratibu! Humu umejiunga mwaka gani? Japo naheshimu mawazo yako!
  17. N

    Clouds fm inaliangamiza taifa

    Huyo ameizindua jamii...kweli yupo mdogo wangu alitembelea mikoa ya Bongo...alisema vijana wengi huamin na kujisifia waisikiapo Hiyo station wajiona ndio wajanja kuliko wengine ...inapelekea wengine waige wenzao. Kweli haina kuelimisha zaid?
  18. N

    Mjue Aisha aliye mchoma kisu meja wa Jeshi

    Hivi mashangingi ndio mauaji?
Back
Top Bottom