Search results

  1. pandian

    PSPF,mfuko pekee wa pensheni unaoweka mazingira ya wazi ya rushwa kutoka kwa wanaodai mafao!

    Mimi ni mwanachama wa Mfuko mwingine lakin kama sheria ingekuwa inaruhusu ningehamia PSPF. Huwez fananisha mifuko yetu hii midogo na PSPF. Tangu mwaka jana nawaona wanafanya semina za wanachama wanaokaribia kustaafu, hakuna mfuko nchi hii unaofanya semina za kuwaandaa wanachama wake ni hao jamaa...
  2. pandian

    SSRA:Ufafanuzi juu ya hali ya mfuko wa Hifadhi ya jamii, NSSF

    Elimu, elimu, elimu! Ww Wanjiru feki ndiye uliyetaka kujua hali ya kulipa mafao kwa pspf wakati umeona kabisa thread ni ya nssf. Hujielewi ww lakin co shida yako ni uelewa wako mdogo wa kuinterpret mambo
  3. pandian

    SSRA:Ufafanuzi juu ya hali ya mfuko wa Hifadhi ya jamii, NSSF

    Aliyepost hii taarifa kwa umma sio SSRA ni mtu kama wewe Wanjiru anajiita Asigwa. Hapa JF hatulipi mafao brother. Lalamika hapa uone kama JF watakulipa kesho. Tumekuelekeza Ssra watakusaidia ulipwe sio hapa jf
  4. pandian

    SSRA:Ufafanuzi juu ya hali ya mfuko wa Hifadhi ya jamii, NSSF

    Hizo ndizo sifa zako ndio maana unatumia masaburi kufikiri. Umeelekezwa ilipo SSRA ukawaulize unawashwa nini sasa
  5. pandian

    SSRA:Ufafanuzi juu ya hali ya mfuko wa Hifadhi ya jamii, NSSF

    Umepewa taarifa ya NSSF wewe unataka PSPF, huo nao ni ujuha. SSRA wapo pale Victoria huna haja ya kuuliza huku JF.
  6. pandian

    Jengo la LAPF Millenium Tower laezuka paaa lote

    Nackia hilo jengo la LAPF lipo kwenye hifadhi ya barabara na kwa upanuzi wa barabara ya Mwenge-Morocco alioagza Maguful na zle bilioni 4 za sherehe ya Uhuru sitashangaa mtaro wa barabara ukapitia jengo. Nilickia pia LAPF wana mpango wa kuhamia Mwanza likibomolewa
  7. pandian

    PPF mfuko usiokuwa na motisha kwa wanachama wake

    Al Sharpton, usipotoshe watu tahadhali. Ulishawahi kumwona ama kumsikia mtu yeyote aliyelipwa mafao ya kustafaafu na GEPF? Ina mwaka mmoja tu ibadilishwe kuwa penshen fund so wana formula ya kulipa mafao ambayo hawajawahi kutumia kumlipa mtu yeyote.
  8. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Tanzania Postal Bank Fungua hiyo link ya postal bank hapo juu ujifunze tofauti ya benki na pension fund. Mikopo ya members wenu mnatakiwa kuyapelekea mabenki. Msije ukadhani sisi tulio ktk sekta zingne hatujui mnavyo operate. Ukijdai mjuaji utaibua mjadala mpya wa uhalali wa lapf kama pension...
  9. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Umebaki mwenyewe tu wenzako wa lapf wameshaujua ukweli. Hiyo diploma yako ya insurance rudi shule. Core business ya pension fund sio kuuza mikopo kwa wanachama ndio mana wenzenu pspf wenye akili wanapeleka hilo jukumu kwa financial institution. Ungekuwa Umesoma finance, economics ama business...
  10. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Walimu watajiunga vipi LAPF wakati wao si makarani wala maakida? Ningekuwa mwalimu ningejiunga na PPF, PSPF au GEPF
  11. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Lennysuzu na 2ngeneration, kwanin mifuko yenu kila siku inawekeza kama hamtaki sehem ya surplus ya uwekezaj ilipe mafao? Kwa kuwa nyote wawili ni waajiriwa wa hiyo lapf tujuzeni kama Mfuko wenu unatoa fao la kujikimu kama mnavyotangaza Clouds? Ndio concern ya mtoa mada. Haya mengine mnatujazia...
  12. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Source: SSRA annual report ya 2014, page 24 na 25.
  13. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Huyu Komeni ndiye typically tabia zao huu Mfuko wa kikoloni. Wewe kwa kuwa ni staff wa Local ungetujibu hilo fao la kujikimu mnalo au mandanganya Umma? Una miaka takriban umri wa miaka 71 lakini una wanachama chini ya 110,000. Mfuko dume uko wapi hapo. Nimejaribu kupitia kwa Mdhibiti SSRA kuuona...
  14. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Shaurimbay; hata mimi nimepita pita sehemu nikaiona hii historia ya huo Mfuko wa LAPF. Hapa chini nimeattach sehemu ya introduction ya LAPF kama inavyosomeka kwenye vitabu vyao vya mwongozo wa mwanachama. Hivi vitabu walitugawia walipokuja ofisini kwetu siku ya kusajiliwa kwenye Mifuko. Historia...
  15. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Hiki unachokiona hapa ndo yale yale yanayotokea hawa ELOPIEFU wanapokuwa wanatoa mada na Mifuko mingine,. Wao ni kuwasema wenzao tu, utasikia PPF wako hivi, sasa hv tuna formula sawa PSPF sio ishu tena, NSSF wanawekeza wakati hawalipi wanachama wao n.k. Ila hapa ishu ya msingi ni kwamba kuna...
  16. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Hawa jamaa wa LAPF mwaka jana wakati tumeitwa kazini walirobby kwa Dada mmoja wa masjala hapa ofisini wakamkatia kidogodogo akawapa namba zetu za simu wakaanza kutupigia simu twende pale makao makuu kwao tukajisajili Jumamosi ambayo hata si siku ya kazi kwa serikali. HR mkuu akaidaka hiyo ishu...
  17. pandian

    LAPF na Clouds FM mbona mnadanganya umma?

    Nina brother angu alikuwa chuo cha kodi kwenye training ya TRA siku hiyo ni kweli huyo afisa wa LAPF kapigwa marufuku na SSRA kujihusisha na semina za wanachama. Alkuwa anasema full uongo. Huitaji kwenda ofisi ya LAPF kuthibitisha, wewe Google na kama humwamini Google angalia website yao LAPF...
  18. pandian

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Kassim Awadh nimeamini mawazo ya wengi kwenye hii thread kwamba wewe ni mtumishia au mwanachama mwenzangu wa LAPF unaetumika kuchafua mfuko wa PSPF. Wanachama wenzangu wa LAPF tuwe makini na watu hawa wanaotaka kutulaghai tufikirie majahazi ya wenzetu yanakwenda mlama wakati kwetu ndo panazama...
  19. pandian

    Madeni ya Serikali yaiweka PSPF njia panda

    Sisi Watanganyika tuna tabu moja kubwa. Haki zetu za msingi na mifumo huwa hatuzidai lakini ni wepesi kulalamikia process. Mtu analalamika eti foleni mwingine analalamika eti mama yake kazunguka hadi kawashauri kutojiunga na mfuko flani. Huyo mama anakaa kwenye benchi hospitali akienda na kadi...
Back
Top Bottom