Search results

  1. D

    Anahitajika mwenye uwezo na utaalam wa masoko

    Sifa za anayehitajika; 1. Awe amesomea masuala yanayohusika na masoko / awe na uwezo wa shughuli zinazohusiana na masoko. 2. Awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35. 3. Awe anaishi Arusha Kwa atakaye kuwa tayari awasiliane nasi kwa namba 0685624664.
  2. D

    Mwalimu wa masomo ya ualimu (education) anatakiwa

    ​Anahitajika Mwalimu mwenye uwezo wa kufundisha masomo ya UALIMU (EDUCATION COURSE) katika taasisi ya elimu ya juu. *Mwombaji awe Arusha/ aweze kufanya kazi Arusha *Mwombaji awe amehitimu elimu ngazi ya Shahada(Degree) ya ELIMU katika chuo kikuu kinachotambuliwa na serikali. Kwa aliye...
  3. D

    Mwigulu yupo Arusha sasa hivi kwa ajili ya uchaguzi wa Jumapili 14/07/2013

    Wakuu Mwigulu ameonekana hapa Arusha leo hii, amekuja kupanga mikakati na kutekeleza uchakachuaji wa matokeo ya kura za Udiwani wa kata nne za jiji la Arusha utakaofanyika tarehe 14 July 2013.
Back
Top Bottom