Search results

  1. M

    Ifahamu Manyovu mkoa wa Kigoma

    Kijana bado hujaijua vizuri Manyovu unachanganya mambo
  2. M

    Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

    Anapenda ngawila kama unaweka ngawila kwenye pochi kaa mbali
  3. M

    Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

    Hugo witnessj namfahamu ni mzuri ila ana matatizo yake
  4. M

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Ww hujielewi mpaka kufika hapo alipofika inamaana vyombo vya usalama vilishamchunguza na vikajidhisha, Kwa taarifa anatoka wilaya ya kasulu kata ya mnanila kijijini cha Nyakimwe
  5. M

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Wachaga nanyie pumzikeni mmeiba sana sana awamu zilizopita, ngoja na wengi wajaribu nyinyi ndo mmetufikisha hapa
  6. M

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Hivi hili jukwaa limegeuka kuwa kijiwe cha majungu? Mijitu imeamua kumwaga uhalo kuongea vitu wasivyovijua, halafu Kwa kuwajulisha sio kila mtu mwenye asili ya kitutsi ni mnyarwanda, kuna watutsi wa Tanzania, Kenya, uganda, rwanda, Burundi, Kwa kifupi watutsi no wahamit sawa na wamasai
  7. M

    Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

    Habari mrembo, mm karibu vigezo vyote Nina, naomba masiliano yako ya simu ili tuweze kuwasiliana
  8. M

    Kumbe ndiyo maana Mkulu huwa anawapigiaga simu Clouds na kuwapongeza

    Issue inakuwa hivi anatafutwa MTU ambaye anatoa dau kubwa kupita wote halafu akishamaliza anaingia mitini ndio baadaye unakuja yule mwenye mzigo Kwa bei waliyopanga na Dalali wa huo mnada
  9. M

    Sema neno

    Unategemeana na kichwa cha mwanamke kuna wanawake wanahela xao na wanaadabu Kwa waume zao na washauri wazuri tu
  10. M

    Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

    Jitahidi kila siku uwe unabembea angalau km 5 kila siku kama uko d Jitahidi angalau kila siku uwe unatebembea Kwa miguu angalau km tano mfano kama uko dar tembea kutoka ubungo mpaka yangu bovu mbezi, ndani ya week 2 utaona matokeo
  11. M

    Mvulana wa miaka 17, afanyiwa upasuaji ili kupunguza uume wake

    Kwema yaani natamani siku moja nikuone maana umezidi vituko
  12. M

    Mvulana wa miaka 17, afanyiwa upasuaji ili kupunguza uume wake

    Hivi ww rubi, yaani natamani siku moja nimekuona, yaani kila kitu ni utani
  13. M

    Njooni wamepungua, wamesinzia barabara nyeupe...

    Sasa hivi wamebadili style mkuu, wamehamia bar, ukiwaona wadada kwa bar na vireds au lite beer wamekaa tu wako kama watatu vile halafu hawana story kila mmoja anachezea kismartphone ujue hao wako sokoni kaka
  14. M

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Pole Dada, kama bado unampenda mmeo Waite wote Mama na mmeo wambie ushenzi wao toa na ushaidi wako halafu ww kaa kimya
  15. M

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Pole Dada Leah, Kwa ushauri wangu naomba utafute jinsi kuludiana na mmeo kwani hata tukisema umwachie huyo Mdogo wako ndio utakuwa umepanda mbegu ya chuki kila ukiwaona utakuwa unatamani kuwamaliza, vile vile ndoa yao hautakuwa na amani, ila ww kama mmeo akijutia makosa yake na ukamsamehe...
  16. M

    Ushauri: Ananiharakisha kwenda kujitambulisha kwao

    Mwambie huyo mpz wako awambie nasubili utoke safari kwan kuna ugumu ggani hapo
  17. M

    Mwami Theresa Ntare VI wa Heru - Chifu wa kwanza mwanamke

    Sio kweli mwami thereza ntare alitawazwa uchifu baada baba yake mwami ntare kukosa mtoto wa kiume ktk uzao wake hivyo baada kutawazwa uchifu ilibidi atafutiwe mchumba kutoka ukoo wa chifu lusimbi wa kalinzi hivyo akawa ameolewa na kijana wa kitutsi kutoka kalinzi akiitwa george
Back
Top Bottom