Search results

  1. B

    Kuepesha Ajali za Mabus ya Abiria Madereva wote Wapelekwe Mafunzoni

    Uzembe wa madereva wa mabus ya abiria yaendayo mikoani umekuwa janga la taifa kwa kusababisha vifo vya wananchi wengi na wengine kupata ulemavu wa kudumu. Ifike mahali Serikali ichukue hatua za makusudi ili kutuepusha na janga hili. Litakuwa ni jambo jema madereva wote wa mabus yanayoenda...
  2. B

    Bunge live 'limeanza'!

    Watanzania watu wa ajabu sana! Humu JF zinapigwa kelele nyingi kuhusu uamuzi wa Serikali kusitisha kuonyesha Bunge live. Watu wanadai wananyinwa haki yao ya kupata habari toka Bungeni. Cha kushangaza ni kwamba wanaolalamikia kupata yanayojiri Bungeni ndio hao wanatuletea habarI 'motomoto' za...
  3. B

    CDA nayo ni 'jipu' la kudumu?

    Siku chache zilizopita jamaa mmoja wa BMT aliondolewa kwenye cheo chake kwa sababu alikuwepo pale kwa miaka 7 na hakuna la maana lililofanyika. Mwaka 1973 Serikali ya Tanzania baada ya kutafuta maoni ya wananchi(referendum) iliamua kufanya mji wa Dodoma kuwa mji mkuu wa shughuli za Serkali...
  4. B

    Rais Magufuli watupie jicho la huruma wastaafu wa Nyerere na Mwinyi!

    Leo nimdona kwenye TV mazishi ya Mzee Elinawinga aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali katika serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya Mwalimu Nyerere. Maelezo yaliyotolewa ni kwamba kiongozi huyo hadi mauti inamkuta alikuwa akipata pensheni ya shilingi 25 elfu kwa mwezi! Wapo watumishi wa serikali...
  5. B

    NAPE aache lugha za kibabe na u 'mimi'...

    Tangu Mawaziri wateuliwe na kuanza kazi mara nyingi nimekuwa nikimsikiliza Waziri Nape akiongea anatumia sana neno 'mimi' badala ya kutumia maneno kama 'serikali, serikali yetu, serikali ya awamu ya tano' nk... U ' mimi' huo unaoambatana na ubabe usio wa lazima ndio unaopelekea kuleta migongano...
  6. B

    NAPE aache lugha za kibabe na u 'mimi'...

    Tangu Mawaziri wateuliwe na kuanza kazi mara nyingi nimekuwa nikimsikiliza Waziri Nape akiongea anatumia sana neno 'mimi' badala ya kutumia maneno kama 'serikali, serikali yetu, serikali ya awamu ya tano' nk... U ' mimi' huo unaoambatana na ubabe usio wa lazima ndio unaopelekea kuleta migongano...
  7. B

    Mgogoro wa Zanzibar, wako wapi Taasisi ya Mwalimu Nyerere?

    Mwalimu Nyerere kabla hajaaga dunia alikuwa akihangaikia usuluhishi wa mgogoro Burundi. Warundi na jumuia ya kimataifa wanatambua juhudi kubwa za Mwalimu katika utatuzi wa mgogoro huo. Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilianzishwa mahsusi kuendeleza yale aliyoyasimamia. Cha kusikitisha ni kwamba...
Back
Top Bottom