Search results

  1. Powder

    NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Nipeni kazi niwafungie Sound proof kwa kumbi, Lounge ama Night Club....! Kama Bar yako ni open, jifunze kufungulia mziki kwa sauti ndogo. Acheni kulalamika!
  2. Powder

    Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    Hao Wanawake wenyewe ndo Mashabiki zake.
  3. Powder

    Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

    Tanya maombi... Funga kwa ajiri ya Biashara yako.
  4. Powder

    Msaada tafadhali: Nina kibamia

    Ukubwa wa Dudu unategemea pia Ukubwa wa Papuchi...! Hakuna Dawa za kuongeza Urefu wa Dudu.....! Japo zipo za kuongeza Unene.
  5. Powder

    Msaada tafadhali: Nina kibamia

    4 ikiwa imesimama ama ikiwa imelala!?
  6. Powder

    Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

    Kama wewe hujawahi kushukudia Madudu ya mwanamke wako, Basi anakuheshimu na Ujinga wake anafanyia Mbali! Uwe Tajiri umpe mwanamke kila kitu, umpelekee Moto kila siku mpaka K ipate moto, atakusaliti kwa Dereva Bodaboda ambaye huwa anamleteaga Pizza nyumbani.
  7. Powder

    Jinsi ya kumfanya Mwanamke akuheshimu pasipo kumshurutisha

    Huwajui Wanawake wewe! Wao wenyewe hawajuagi wanataka nini!!!
  8. Powder

    Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

    Ndo ipo hivyo, Nunua materials yote, mfano nenda kwa kampuni ya Ujenzi top Company watakwambia watakujengea lets say Msingi wa nyumba yako kwa 5 millions. Normally Company watakwambia watajenga kwa 3 millions, ukienda kwa mafundi wa Mtaani watakujengea hata kwa 2 millions. Kuhusu Ujenzi ni...
  9. Powder

    Liverpool FC wanataka kuja Tanzania, Serikali changamkieni

    Serikali ichangamkie kuhusu nini!? Kwani wao waliiandikia Serikali au walimwandikia Bongozozo....!? Acha Maji yafate Mkondo wake.
  10. Powder

    Naomba kujuzwa gharama za kupanda Mlima Kilimanjaro

    Kama ni Watanzania na mnaweza kujikusanya hata watu 5! Mnaweza kupanda Mlima kwa Kiasi cha 3 millions kwa Wote 5! Gharama za Kupanda Mlima ni kama gharama za Ujenzi. Kampuni A inaweza kukucharge 100 millions kukujengea Nyumba bora. Kampuni B inaweza kukucharge 60,000 millions kukujengea the...
  11. Powder

    Wakurd karibu wote ni Waislamu wa madhehebu ya Sunni lakini wamekataa Hijab, wanasema ni mila ya Kiarabu

    Weusi Arabuni wameenda miaka ya 1980+ kutafuta Maisha, sio kile kizazi cha Utumwa....! Na wengi wanajua hata asili ya nchi zao.
  12. Powder

    Mnaobeza maamuzi ya TFF nikumbusheni ni lini CAF, CAS au FIFA zilitengua maamuzi/hukumu za TFF?

    Kwenye huu Uzi leo ndo ntawajua Member wenye Viwango vidogo vya Ufahamu. Mpaka sasa nimewaona 2.
  13. Powder

    Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Mkuu kwa Ukatili huo, huwezi kuwa hata mjumbe wa nyumba 10.
  14. Powder

    Ushahidi juu ya Aliens wazidi kufichuka: Uwanja mkubwa wa Ndege za Anunnaki wagunduliwa Lebanon. Umejengwa kwa matofali yenye uzito wa tani 1,600

    Naona binadamu wewe una Wivu, hutaki kusikia uwepo wa Viumbe wengine zaidi ya Binadamu.
Back
Top Bottom