Search results

  1. Sniper shooter

    Natafuta marafiki wa kike tu

    Habari za asubuhi wana jamii, Natumai muwazima rejea kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hivyo niko huru nyumbani hivyo nahitaji marafiki wa kike tu. Kwa mawasiliano na ushauri katika mambo mabalimbali yahusuyo maisha...
  2. Sniper shooter

    Maalimu Seif umekwisha kisiasa kapumzike

    Hivi kwelii Maalim Seif ametekwa kiakili na hawa waroho na wabinafsi wanaojiita ukawa eti asishiriki uchaguzi wamarudio kwa sababu za kitoto kbsa eti nilishinda uchaguzi wa awali kwani tume ilimtangaza kuwa ameshinda?? au ndo zile hadithi za vibarazani mh kwa kweli umeingia choo cha kike utuombe...
Back
Top Bottom