Search results

  1. JUkonga

    Taarifa: Mbunge wa Ukonga Mh. Waitara Mwita akikagua miradi ya maendeleo jimboni kwake

    Taarifa Kutoka Ofisi ya Mbunge wa Ukonga Mh. Waitara Mwita Mb. Mbunge wa Ukonga ambaye pia ni Mwenyekiti wa mfuko wa Jimbo la Ukonga Mh. Waitara Mwita mwezi uliopita alifanya ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Ukonga kujionea maendeleo ya Mirada mbalimbali yenye jumla ya shilingi...
  2. JUkonga

    Pongezi kwa Mbunge wa Ukonga Mh. Waitara Mwita

    Leo Mjini Dodoma Mbunge wa Ukonga Mh, Waitara amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Wabunge wa Chadema Kanda ya Pwani yenye Mikoa ya kichama ya Dar es Salaam na Pwani. Katika Kikao hicho pia Mbunge wa Viti Maalum Mh. Lucy Magereli amechaguliwa kuwa Katibu wa Wabunge wa Chadema. Kabla ya Uchaguzi...
  3. JUkonga

    Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara atekeleza ahadi yake ya jenereta kwa shule ya Nzasa

    MBUNGE WA UKONGA MH. MWITA M. WAITARA ATEKELEZA AHADI YAKE YA GENERETA LA TSH. 1MILIONI KWA SHULE YA MSINGI NZASA II KATA YA ZINGIZIWA: Katika kutekeleza ahadi aliyoitoa mwaka jana kwenye ziara ya kutembelea shule za Msingi katika Jimbo la Ukonga, Mbunge Wa Ukonga Mh. Mwita Waitara (Mb)...
  4. JUkonga

    Taarifa muhimu kutoka mahakama kuu kitengo cha ardhi DSM

    ✅Leo tarehe 02.02.2016 ni Siku ya kusikilizwa kwa shauri no. 49 ya mwaka 2016, lililofunguliwa Mahakama kuu ya Tanzania Kitengo cha Ardhi na wakazi wa Kata za Ukonga, Gongolamboto na Pugu waliowekewewa X kwenye nyumba zao ili zibomolewe. Kama mnavyokumbuka shauri hili lilifunguliwa kwa msaada wa...
  5. JUkonga

    Mwita Waitara awaita CCM waongo na waoga bungeni

    Mh. Waitara (Mb) jioni hii akichangia hoja ya waziri wa fedha na mipango bungeni amejikita katika maeneo mawili, Elimu na Utawala bora. Kwanza amewaambia CCM kuwa ni waongo na pia ni waoga. Amewaambia kuwa ili mipango wanayoizungumza itekelezeke ni lazima wang'oke madarakani kwakuwa wamechoka...
  6. JUkonga

    Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya kupinga ushindi wa mbunge wa Ukonga, Waitara Mwita

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo imesikiliza Shauri la kupingwa kwa Ushindi wa Mbunge wa Ukonga Mh. Waitara Mwita Mwikwabe, katika shauri hilo upanda wa wajibu maombi uliwakilisha na Wakili Msomi Dr. Onesmo Kyauke anayemtetea mh. Waitara, Wakili kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na...
  7. JUkonga

    Ziara ya Mbunge wa Ukonga Machinjioni ya Mazizini Ukonga na mnada wa Pugu

    ZIARA YA MBUNGE WA UKONGA MH. WAITARA MWITA MACHINJIO YA UKONGA MAZIZINI NA PUGU MNADANI Siku ya Jumanne tarehe 19.01.2016, Mbunge wa Ukonga alifanya Ziara ya kutembelea Machinjio ya Mazizini katika Kata ya Ukonga na Mnada wa Pugu ulioko kata ya Pugu Station jimbo la Ukonga. Msingi wa Ziara ya...
  8. JUkonga

    Taarifa ya Mkutano wa Mbunge wa Ukonga katika Kata ya Majohe

    TAARIFA KWA UMMA... Ndugu wananchi wa Jimbo la Ukonga tunapenda kuwapa taarifa kuwa Mbunge wa Ukonga Mh. Waitara Mwita kesho Jumanne tarehe 12.01.2016 atakuwa na mkutano wa hadhara katika Kata ya Majohe eneo la Kwa Ngozoma. Katika mkutano huo Mh Waitara atawashukuru wananchi wa Kata ya Majohe...
  9. JUkonga

    Mbunge Waitara awatembelea wakazi wa Bonde la Msimbazi katika Kata za Ukonga, Gongolamboto na Pugu

    Leo nitakuwa katika Kata ya Ukonga mtaa wa Mongolandege ambako jana wakazi wake walianza kuwekewa alama ya X kwenye nyumba zao. Nitazungumza na wakazi wote ambao nyumba zao zimewekewa alama ya X tayari kwa kubomolewa na baada ya hapo tayari tumeshapata mwanasheria kwa ajili ya kuchukua hatua...
  10. JUkonga

    MBUNGE WA UKONGA AKIWA KWENYE MGOGORO WA ENEO LA SHULE YA MSINGI KIVULE

    Mbuge wa Ukonga Mh Waitara Mwita ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Kivule ameuingilia kati mgogoro wa eneo la shule ya msigi Kivule. Katika hatua ya awali mbunge pamoja na diwani wa Kivule waliusimamisha ujenzi wa ukuta unaotenganisha eneo lenye mgogro na eneo na kuliacha nje eneo sehemu ya...
  11. JUkonga

    Mbunge wa Ukonga Waitara ameutatua mgogoro kati ya Wafanyakazi na Uongozi wa Kiwanda cha NAMERA

    Mbunge wa Ukonga Mh. Mwita Waitara ameingilia kati mgomo wa wafanyakazi wa Kiwanda cha NAMERA GROUP kilichopo maeneo ya Kata ya Gongolamboto katika Jimbo la Ukonga. Katika mkutano na wafanyakazi wa Kiwanda hicho, mh. Waitara Mwita aliwataka wananchi hao kumpatia kero zao mbalimbali bila kuwa na...
Back
Top Bottom