Search results

  1. R Mbuna

    Natafuta partnership kwenye biashara ya Clearing and Fowarding

    Naomba kufahamu vitu vifuatavyo:- 1. Una bond ya kiasi kwa ajili ya transit goods. 2. Una container deposit waiver kwenye shipping line ngapi? Naweza kufanya kazi na wewe kama nitaridhika na hayo majibu. NB: nitakulipa agency fee tu iwapo tutakubaliana . Nina wateja wa LUSAKA MAZABUKA NDOLA...
  2. R Mbuna

    Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

    Tuongelee Bandari Tu mpira hauna issue . Mama anaupiga kizenji Tu
  3. R Mbuna

    Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

    Striker wa Simba ana magoli mangapi? Maana huyu wa Yanga ni galasa kabisa.
  4. R Mbuna

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika Mambo ambayo Mungu alikosea ni kuruhusu mwanaye auawe badala ya shetani. Anayepelekea watu kutenda dhambi no shetani iwaje tena auawe asiye na dhambi. Kwa maana hiyo shetani ataendelea kuwa nasi mpaka ukamilifu wa dahali.
  5. R Mbuna

    Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

    Tunaomba update Mkuu.
  6. R Mbuna

    Tigo Bussiness waboresha bando zao, ujazo mkubwa, gharama nafuu

    Hii ni yangu ime top Jana . Mbona bado ipo vile vile. Au hayo maboresho yameanza Leo.
  7. R Mbuna

    Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

    Poor example. Kwani Azizi Ki wakati anasaini mkataba hakujua kama 4m ni ndogo?
  8. R Mbuna

    Huu ndio utabiri wangu kwa Simba na Yanga weekend hii ya mwisho wa mwezi February, 2023

    Let's wait and see. Ila huo utabiri wako ni wa mchongo. Yanga kumiliki mpira Kwa sasa ndio falsafa hata wakifungwa utauona wao ndio walipossess mpira.
  9. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    Yes nipo Dar. Nitafanya hivyo ingawa najua hapa urafiki ndio unaisha.
  10. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    @Ami biashara tukifanya hivyo hatutatoboa Bora ibaki kwenye finance book kama ni debtor mpaka itafika muda wa kuhesabu kama loss . Ila Kwa sasa bado mapema. Ahsante Kwa ushauri wako pia
  11. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    Alifeli sehemu ndogo Sana kwenye kutafuta trucks za kubeba mzigo. Aliwatumia madalali wenye njaa . Wakampa bei ambayo haipo sokoni na yeye kwa hofu ili mzigo usichelewe akaingia mkenge. Can you imagine sehemu ya kwenda Kwa USD 4300 yeye walimwambia USD 4700 hivyo Kwa gari sita tayari hesabu...
  12. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    Trucks Mkuu. Ila huwa ninawateja ambao ninachukua kazi ya clearing na transportation as well. Ambapo kwenye clearing huwa kuna rafiki yangu yupo na clearing company ndio anafanya hizo kazi Kwa kumlipa agency fee Tu.
  13. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    Mkuu hata akinilipa kidogo kidogo Mimi sina shida . Let's say anipe Dola 100 kila mwezi sio tatizo. Lengo ni awe na dhamira ya kunilipa tu kuliko hivi anavyonifanyia. Hizi biashara zetu ni chain hivyo tunasaidiana Sana. Sometimes unapeleka mzigo hata Rwanda Bugarama huko na hauchukui hata...
  14. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    Hapana Mkuu simpi pressure Ila nahisi anaona aibu kunikabili sasa na Mimi nataka kuongea naye kama ulivyosema na ndivyo nilivyodhamiria kunilipa yote Kwa wakati huu hawezi. Ila sasa ilitakiwa tuonane ndio mipango na makubaliano yafanyike akinikwepa nahisi kama ana nia ya kunidhulumu.
  15. R Mbuna

    Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

    Habari za usiku wanajamvi. Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara. Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili...
  16. R Mbuna

    Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

    Mkuu Sisi wanywa maji bar huwa tunadharaulika Sana. Last year November nilikuwa Kasulu same story like yours lakini Mimi siku wanunulia wao nilienda na watoto wangu niliwanunulia kuku kila mmoja na kuku wake. Ingawa ziliwashinda maana kuku za Kiswahili nyama zao ngumu Sana na watoto wenyewe...
  17. R Mbuna

    KUZAA NAE ISIWE TIKETI YA NDOA. MAMAMKWE NAE 'DJINGAH' TU.

    Haya yalishanikuta. Mpaka Leo sijui ilikjuwaje mpaka nilifunga Ile ndoa. Maana baada ya ndoa Tu nilianza kuona kama nilipotea njia Mpaka Leo mama mkwe ananilaani kuwa nilimuharibia maisha binti yake Ndoa ilivunjika ndani ya mwaka mmoja Tu. Mtoto wangu hakuwahi kulala na Baba yake hata siku...
  18. R Mbuna

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Bubu Anataka Kusema Ukisoma vizuri hayo maelezo utaona ameandika hivyo.
  19. R Mbuna

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Ukienda Iringa na Njombe hayo ni majina yenye heshima Sana. Shida ya lugha ndio hii kuna sehemu neno zuri Ila kwenye kabila nyingine ni tusi.
  20. R Mbuna

    Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

    Nakula matunda usiku. Ila sio matunda haya yenye maji pekee. Nakula ndizi Parachichi Maembe, Usijidanganye ukala tikiti maji na machungwa halafu ulale mzee utashirikiana na sungusungu kulinda mtaa ukiwa kitandani. Mimi sio mnene Ila sitaki kunenepa. That's all.
Back
Top Bottom