Sio kweli kwamba mwalimu anaweza kushika kazi yoyote nchini. Mwalimu hawezi kuwa daktari,mwanasheria,Polisi au mwanajeshi na kazi nyingi nyinginezo! Mwalimu anabakia kwenye taaluma yake isipokuwa kazi kama DC ipo kinamna tofauti na DAS ambaye ndiye mtawala na muajili mkuu kwa ngazi ya wilaya
Umeanza vizuri umemalizia kama Instagram,yaani watu wajichukulie sheria mkononi kisa Mdude? Kweli kabisa unasema hayo ukimaanisha au wewe unao watu ambao tayari umewa tambua kama watesi wake? Kama jibu ni ndio,si uende mahakamani sasa
Hii hadithi nani anasimulia?
1. Jirani?
2. Jambazi?
3. Marehemu
4. Wewe muandika uzi huu ukiwa kundi lipi kati ya 1 hadi 3?
Kama taarifa iko hivyo,kwamba watu walikuwa wamekaa grosari,kilichozuia wewe na wenzako kuwakamata hao watu kabla au baada ya kutekeleza huo uhalifu ni nini?
Naona uzi...
Kama issue ni katikati ya nchi,basi ukiwa unatoka Kitinku kupandisha Manyoni,pembeni ya barabara kuna jiwe kubwa kushoto na bacon ambayo inatambulisha kuwa ndio katikati ya nchi. Dodoma kuwa makao makuu ya serikali sidhani kama kigezo cha kuwa katikati kilitumika
We jamaa umenikumbusha enzi hizi mshua anaacha kalamu kitandani makusudi Sasa ole wako akute imegeuzwa hicho kipondo,utamuita izrael aje kumchukua[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Boniphace Wambura ni yule alikuwa bodi ya ligi sijui siku hizi yuko wapi maana mara ya mwisho nilimuona anakatisha maeneo ya Clock Tower Arusha akionesha ana mawazo mengi. Michael Wambura ndio huyo mwizi ambaye anaiba kwa mtindo ule ule unaomtesa Malinzi jela
[emoji1] [emoji1] [emoji1] angalia wakati ana dribble mpira lile goli la pili alipompanga mwenzake,kutanua uwanja,akampatia pasi ambapo within a minute watu wametikisa nyavu. He is magical Ronaldo[emoji460]
CR7 ni mnyama sio mtu wa kawaida. Huwa sifurahii kumfananisha Messi na Ronaldo sababu ubora tu,Cristiano yuko vema zaidi. Hizo rekodi za mabao,CR7 amevunja kwa mechi chache sio kwa lundo la mechi kama Messi lakini watu wanampigia chepuo Messi
Kapumbazwa na Gabo katika tamthilia ya KAPUNI kama ambavyo wewe nawe umepumbazwa na mbupa yake ndio maana pamoja na kutopika,bado kakuagiza mishkaki na umemnunulia badala ya kukataa na kumwambia apike aache TV. Ugonjwa ulionao ndio unao ambatana na hizi tarehe mpaka kufikia tarehe 20/02
Sent...
Fwalwa kanywe uji ulale kwa bosi wako. Hujaumiza akili kujiuliza kwanini hao wanamuziki nguli wamlalamikie na sasa hawa wadogo wa juzi tena? Halafu kwa ufwalwa wako unamuita bosi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.