Search results

  1. Patty B

    Utawala wa KIKWETE katika siku za mwanzoni huwa ni balaa na Umwagaji wa damu tupu!

    Nakumbuka kwa mara ya kwanza Mh. alipoingia katika utawala mwaka 2005 aliingia na mkosi wa majambazi, ambao waliingia nao katika mtandao kwa kasi ya ajabu...hata kabla ya kumaliza siku mia moja za uongozi kukawa na matukio kadhaa ya ujambazi mkubwa wa uporajia mkubwa wa benki na unambazi mwingi...
Back
Top Bottom