Search results

  1. Ipililo

    Hongera Rais Magufuli kwa kufikisha siku 200 Ikulu

    Mnamo 26, march 1983 Mzalendo Hayati Edward Moringe Sokoine alisema yafuatayo, " Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta, kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra za Mungu na wananchi wake peke yake, VIONGOZI WAZEMBE NA WABADHIRIFU WAHESABU SIKU...
  2. Ipililo

    Usahihi wa uteuzi wa Kikwete UDSM na dhana potofu inayojengwa

    UTEUZI WA JK NI SAHIHI Kwa wale wanaohoji uteuzi wa JK kuwa Mkuu wa chuo UDSM ngoja niwasaidie. Ni kawaida Rais Mstaafu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Umma. Mfumo huo ulianzia huko Marekani sisi tumecopy tu bt nchi nyingi za "Common Wealth" zinafanya hivyo. Nchini Zambia Rais wa kwanza wa nchi...
  3. Ipililo

    Natafuta mother board ya HP ENVY M6

    natafuta MOTHER BOARD YA HP ENVY M6 SILVER. PLZ
  4. Ipililo

    TANZIA Mwandishi nguli wa Fasihi nchini, Edwin Semzaba afariki dunia

    Kwa wale Wana fasihi NA WANA UDSM TUMEPATWA NA MSIBA MKUBWA SANA LEO EDWIN SEMZABA mwandishi wa kitabu maarufu cha Ngoswe penzi kitovu cha uzembe amefariki dunia leo. Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la bwana lihimidiwe
  5. Ipililo

    Walidai Magufuli Anatekeleza Ilani ya UKAWA, mbona wamekimbilia mahakamani kuipinga ilani yao?

    MAGUFULI anatekeleza sera na ilani ya UKAWA,sasa mbona kwenye BOMOA BOMOA mnapiga yowe? Ilani yenu si ndiyo inafanya kazi au mmechoka Kuzungusha mikono? Sijawahi kuona watu wametengeneza ilani na wamekimbia kuipinga mahakamani ilani yao
Back
Top Bottom