Search results

  1. E

    Best movies

    ..............no one lyk THE NEXT THREE DAYS ya Russel Crowe!!!
  2. E

    Wapi Mama Mingoi????

    ...ilikuwa kila rap ya Twanga Pepeta jina lake linatajwa,ila sijui kapotelea wapi siku hizi!!
  3. E

    24 hrs

    One of the best series kwakweli....ila tuache utani, Chloe O'brian ni noma!!!! kile kichwa bwana....
  4. E

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    Darkness cannot drive out darkness; only light can do that. Hate cannot drive out hate; only love can do that. Martin Luther King, Jr. Read more:
  5. E

    Julius Nyaisanga yuko wapi?

    Jamaa yupo Morogoro akipiga kazi na Abood FM Radio. Ni moja ya makampuni ya Abood Aziz mbunge wa Morogoro Mjini...na ana kipindi chake kama kile cha zilipendwa radio Tanzania. Jamaa namkubali toka kitambo sana enzi za BP ni Zaidiiiiii...ilikuwa noma kwa sababu alikuwa anaweka ngoma kali za...
  6. E

    Kutana na Selebu Mboni

    Ee bwana ndiyoooo! Jamani wadau nimecheka hadi nivunje mbavu....Hivi data zote mnazitoaga wapi??? Mkubwa kama vipi idondoshe na nyeti nyingine za wauza sura haoo!!!
Back
Top Bottom