Search results

  1. Titans

    Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

    Aiseee hii noma sasa. Si ulimtoa bikra? Ina maana kabla ya chuo mlianza kukulana?
  2. Titans

    TO HELL AND BACK!

    Noma sana. Sad, nahisi huko wanafanyishwa ngono kilazima dah.
  3. Titans

    Nikiikumbuka hii siku huwa nacheka,

    Unaogopa sindano?
  4. Titans

    Hivi mawaziri wa michezo wako kwenye mgomo au?

    Hahaha si nanii ndio anaongoza sasa?
  5. Titans

    Utajiri wa vijana wa Magufuli (RCs) una siri gani?

    Mkuu hii message umeniandikia mimi au umekosea tu kuquote?
  6. Titans

    Zitto Kabwe, kushikiliwa kwa laptop na simu hakuondoi wewe kumiliki password

    Mzee ndio maana kuna sehemu inasema "forgot your password?". Maana yake kama umesahau hata password ya zamani then unaweka email address uliyofungulia hiyo acount. Sasa assume pia simu yako una email app ambayo itapokea hiyo link ya kuverify kuwa unataka ubadili password. Ukumbuke email app...
  7. Titans

    Kauli ya Spika Ndugai Sii ya Kubeza

    Aisee naona kuna siku itakuwa kama mpira wa gombania goli mkuu akistaafu.
  8. Titans

    After he is gone, then what?

    Ni kweli mkuu hali itakuwa mbaya sana.
  9. Titans

    Marekani yalipa kisasi, yashambulia mifumo ya kompyuta ya silaha Iran na kuiharibu kabisa.

    Dah yani jamaa wanapigana vita ya ZEROES and ONES tu. Dadeki
  10. Titans

    Rasmi: Naachana na CCM kwa sababu imekaa miaka zaidi ya 20 na umaskini bado upo

    Wewe jamaa utakuwa umekatwa mkia. Pitia threads zako za huko nyuma ujione.
  11. Titans

    Tuijadili Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato Kiuchumi na siyo kisiasa

    Ni wazo zuri sana hata mimi naona lina tija, lakini isije tukakuta fisi anakula matobolwa kwenye tembe za makazi ya watu. Maana bana hao wanyama wapya naamini hawajui mipaka yao mipya ukilinganisha na mipaka yao natural waliyoizoea huko walipotoka.
  12. Titans

    Viongozi kumbukeni wazee ndio tunu zetu tuache kuwananga

    "Usimchezeee chatuu eeh chatu eee🎼🎼🥁🎼" sijui waliimba bendi gani hii nyimbo.
Back
Top Bottom