Search results

  1. K

    inahitajika kununuliwa gari aina ya coaster au hiace inayotumika

    natumai mu vyema wadau; kwa upana wa jukwaa hili, nimeona niiweke hapa ili angalau kuongeza uwezekano wa kupatikana kwake; Inahitajika gari aina ya Coaster, hata hiace ambayo iko barabarani na mwenye nayo yuko tayari kuiuza. Inatakiwa iwe nzima ambayo haisumbui barabarani yenye usajili wa...
  2. K

    hodi!!!!!!!!!!! hodi!!!!!!!!!!!!!!! hodi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    hi wana-jf, ndo mgeni kabisa humu ndani, naomba kupokelewa, tuweza kulisukuma mbele hili gurudumu. Mmekuwa kimbilio langu mara nyingi ktk mwaka huu wote na hakika nimeipenda jf kwa mada mbalimbali zinazoletwa na wadau kiasi kwamba zinagusa kiasi cha kuwiwa kuchangia pasi kuziacha mada nzuri...
Back
Top Bottom