Search results

  1. chiefnyumbanitu

    Njoeni tuelewane bei kwa mwenye bati nataka kupaua

    Kama kichwa cha habari kilivyoeleza mm nahitaji kupaua nyumba ya vyumba vitatu na sebule,kwa kwa vipimo vya fundi kanishauli nitafute kama bati 70 hivi, na khari yangu kwa kununua bati hizo kwa pamoja sitoweza labda kama kuna mwana jf anafahamu bei za bat za rangi kwa bei ambayo itakua safi...
  2. chiefnyumbanitu

    Mzee Yusuph: Walio na nyimbo zangu kwenye simu zao wafute

    Aliyekuwa mfalme wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph amefunguka na kueleza kuwa watu wote walio na nyimbo zake kwenye simu zao wafute na kuacha kusikiliza ili kuepuka dhambi. Katika mahojihano na kipindi cha Mitikisiko ya Pwani cha Times Fm, Mzee Yusuph ameelezea maisha yake ya ndoa, kidini...
  3. chiefnyumbanitu

    Nashangaa hoja za mapenzi kutawala ilhali mapenzi si mapya

    Habari wa za kutwa kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapa jf naona kama hoja za mapenzi zimetawala, sasa nimejiuliza humu ndani kuna nani anayetaka kujua kuhusu mapenzi maana mapenzi yapo toka enzi za mababu na mapenzi kila mtu na stail yake. Ushauli wangu mjue kuwa mapenzi hayafundishwi kila...
  4. chiefnyumbanitu

    Bar

  5. chiefnyumbanitu

    Rais Magufuli anahitaji tathmini

    Leo imetimia mwaka mmoja, miezi mitano na siku nne tangu Rais John Magufuli alipokabidhiwa nchi. Ni kipindi ambacho anapaswa kuanza kufanya mapitio kuelekea kwenye tathmini ya nusu muhula wa Serikali, yaani Government Midterm Review. Mwaka ujao, kipindi kama hiki kama Mungu atatuweka hai, Rais...
  6. chiefnyumbanitu

    Naomba kujua bei ya huawei p9

    Habari wakuu wangu, naomba mwenye uzoefu wa bei za simu natumani humu jf wajanja ni wengi mno mimi nahitaji kuagiza pesa nikanunuliwe simu aina ya huawei p9 nlikua naomba nifahamu japo bei ili ntavyoagiza nisipigwe. Natanguliza shukrani. Asanteni
  7. chiefnyumbanitu

    Tuweke vyama pembeni, twendeni kwenye haki

    Tuwekeni vyama pembeni twendeni kwenye haki maana hata rais wetu tuliyempewa na Mungu anasema msema kweli ni mtu wa Mungu Nape anakosa gani mpaka kutumbuliwa?Nape anakosa gani paka kushikiwa bastola na kuzaririshwa vile? Nape si mwanachama mkubwa tu na ni mjumbe wa NEC ni kipi kilichohofiwa...
  8. chiefnyumbanitu

    Kwanini tung'ang'anie vyeti tusinganganie madawa?

    Poleni na majukumu wana JF, Kila kukicha sikosi kuona uzi wa member kuzungumzia vyeti vya PAUL MAKONDA mpaka hufikia kuchoshwa na swala hili la nyeti. Sasa nimewaza kwanini tusiache kwanza mambo ya vyeti tukajikita kwa maswala yale ya madawa maana naona kama mmemkatisha tamaa ya hatua nyingine...
  9. chiefnyumbanitu

    Mtangazaji wa Global TV anusurika kula kichapo

    Katika tukio la jana kunyesha mvua kubwa Jijini Dar mpaka kutokea mafuriko na mwananchi mmoja kupoteza maisha kutokana na hayo mafuriko, mtangazaji wa Global TV alienda pale na kuanza kuhoji mashuhuda. Shuhuda moja baada ya kutaka kuhojiwa alifoka na kumwambia mtangazaji, "sipendi kuhojiwa...
  10. chiefnyumbanitu

    Msaada: Halotel wamenifungia

    kwa masikitiko makubwa halotel wamenifugia na wakati siku zote na nunua salio 1000 na kuunganisha mb leo nimefungiwa na wameniletea ujumbe huu Mpendwa mteja! Namba yako imefungiwa kwa muda kutokana na kutotumia huduma za simu kwa siku 90 mfululizo. Tafadhali ongeza salio ili kuendelea...
  11. chiefnyumbanitu

    Usafiri wa umma Kariakoo/Gerezani: Mlango wa kutokea abiria mdogo mno

    Habari wanajamvi, Nimetoka Tandika kuelekea Kariakoo na usafiri wa umma, ukweli ni kwamba baada ya basi kutushusha mwisho wa safari Kariakoo Gerezani, ukishuka wakati wa kutoka pale mlangoni. Pale unatakiwa utoke kiubavu ubavu, ombi kwa wahusika mtuongezee upana wa mlango maana tunatoka kwa...
  12. chiefnyumbanitu

    HABARI ZA JIONI MAKAPUKU WENZANGU

    Natumaini makapuku wenzangu mko salama pia kama kunakapuku wengine hawapo safi kiafya Mungu aweke wepesi waludi katika hari zao za awali. Sina mengi makapuku wenzangu nawapenda sana.
  13. chiefnyumbanitu

    Nawaza kimaandishi: helkopta zitakuwa kama bodaboda!

    Wachina walipotengeneza pikipiki zao za mwanzo, (SanLG na Toyo) ziliingia soko la Tanzania kwa bei ya shilingi laki nne tu. Mchina alipoanza kuuza pikipiki zake kwa laki nne pikipiki ya Mjapan aina ya Honda 110 ilikuwa ikiuzwa kwa shilingi milioni sita hadi 10!. Kabla ya kuja kwa SanLG na Toyo...
  14. chiefnyumbanitu

    Natafuta gari aina ya Noah isizidi M8

    Poleni na majukumu wana Jf kama nlivyosema hapo ju kwenye kichwa cha habari natafuta gari aina ya Noah na iwe na usajili wa namba c,d, mi nipo dar es salam Natumain kupitia hapa Jf nitafanikiwa' Natanguliza shukrani[emoji122]
  15. chiefnyumbanitu

    CHANGAMKIA DILI FASTA

    natumaini mmeshinda salama jaman nimepewa tenda ya kuchapisha t,shert yenye nembo hiyo hapo juu sasa kwa mwenye ujuzi wa kuweka logo naomba anipm ili tuwasiliane. Ni hayo tu.
  16. chiefnyumbanitu

    Nawashukuru wanaJF kwa ushauri wenu wa kusitishiwa ujenzi

    HABARI: baada ya kuwaomba kujua kwanini nmewekewa x kwenye muendelezo wa ujenzi kwenye nyumba yangu,baada ya kwenda ardhi nimeonyeshwa ramani ya maeneo ya makazi na wamedai watakuja kupima. Sasa sjajua kama ntaweza bei kwa kupimiwa japo sijajua kiwango cha bei ya mita kisheria. Mungu awabariki.
  17. chiefnyumbanitu

    Msaada: Nimewekewa alama ya X kwenye nyumba iliyo kwenye kiwanja kilichopimwa

    Poleni na uchovu wa mihangaiko ya kutafuta riziki Jamani ombi langu ni kwamba mkuu wa wilaya Kibaha aliwambia Halmashauri walipe fidia na kupimiwa viwanja kwa wale waliyobomolewa nyumba zao maeneo ya kata ya Machinjioni. Leo maeneo hayo hayo japo pana umbali wa kama heka ishirini, leo...
  18. chiefnyumbanitu

    Matukio yote Tanzania yamefunikwa na UKUTA

    Inaelezwa watu 56 wameuawa kanda ya ziwa lakni hakuna ufuatilaji wala maelezo ya kina. Kuuawa kwa askari wanne nayo sio issue, ahadi za rais, vurugu mkutano wa CUF, bomba la mafuta, ufuatiaji wa mapato ya kila mwezi ya serikali, majipu, mafisadi na mahakama ya mafisadi, vyote ni kama vimepotezwa...
  19. chiefnyumbanitu

    Ukitoka Dar asubuhi unaingia Bunda saa ngapi?

    Habari wana JF, Natumaini mko salama kabisa. Shida yangu naomba kujua nmekata tiketi ya kwenda Bunda katika basi la kampuni ya MJ coach, naomba nijue ukitoka asubi Ubungo Bunda unaingia saa ngapi? Ni hayo tu natnguliza shukrni kwenu.
  20. chiefnyumbanitu

    Jumatatu ya leo: Tufanye kumbukumbu ya kitabu cha Juma na Roza

    nakumbuka hiki kitabu nimekisoma na nilikua nakipenda... hadithi hii imekaa kichwani kama sala ya baba au wimbo wa taifa... je unaikumbuka wapi?? Karibuni wana jf tukumbuke enzi.
Back
Top Bottom