Search results

  1. BlackPanther

    Nahitaji kontena ya futi 20

    Duh hilo halifai, ngoja nijikusanye nipate la uhakika M1-1.5 kamanda
  2. BlackPanther

    Nahitaji kontena ya futi 20

    Shukran sana kamanda
  3. BlackPanther

    Nahitaji kontena ya futi 20

    Pamoja sana kamanda wangu🙏, pia kama nimekukwaza nisamehe Ubarikiwe sana kamanda
  4. BlackPanther

    Nahitaji kontena ya futi 20

    Nashkuru kamanda wangu, atleast umenipa mwangaza, acha nijipange
  5. BlackPanther

    Nahitaji kontena ya futi 20

    Linasimamia how much?
  6. BlackPanther

    Kupatwa kwa jua Jumatatu 8 Aprili 2024

    Huku mkoani kwangu mvua zinanyesha
  7. BlackPanther

    Nahitaji kontena ya futi 20

    Habari wakuu? Hope wazima kabisa! Nina uhitaji wa kontena la futi 20, lenye hali nzuri, bajeti yangu ni tsh 500.000/= Laki tano! Ahssnteni!
  8. BlackPanther

    Kenya Airways imepata faida baada ya miaka 7. Nashauri ATCL ibinafsishwe ili isiwe inatumika kisiasa

    Serikali yetu imeshindwa, na sijui lini wataweza kujiendesha😀 Wakipewa waarabu kuimeneji hata usafi na ustaarabu utakuwepo, level seat, sheria za barabara watafuata, ajali zitapungua au kutokuwepo kabisa.
  9. BlackPanther

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Halafu hapo unaambiwa uendelee kurun, kisa waajiriwa.
  10. BlackPanther

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Kama ni kwa ajili ya kodi kuwa kubwa basi ana haki ya kufunga, so, ni ngumu kuendelea kurun kiwanda kwa hasara kisa waajiriwa watakosa kula.
  11. BlackPanther

    Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

    Acha tu ccm iendelee kututawala
  12. BlackPanther

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Wawe salama wa taifa, wanafunzi au nani vile, hayatuhusu. Nnachoangalia life langu tu.
  13. BlackPanther

    Wanaoongoza kuinyonya Afrika sasa ni Asia, sio wazungu au Magharibi

    Hao westerns wamekusaidia nini wewe kama mwananchi! Mzungu amekuja kufungua mgodi anaproduct anaenda kujenga nchini kwake, Wa Asya wanatengeneza magari, mabasi, pikipiki, bajaji, Toyo, baiskeli, nguo, mashuka, hereni, mikufu, mabangiri, shoe's, electronics, silaha, furniture's, na vyakula pia...
  14. BlackPanther

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    Algeria na Morocco hazipo hata top10!😀
  15. BlackPanther

    Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Hujawahi kula mchicha pori?
  16. BlackPanther

    Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Thanks kwa ushauri Maweed
  17. BlackPanther

    Hii mboga inaliwa? Msaada wenu!

    Au sio hah, thanks
Back
Top Bottom