Search results

  1. L

    Kupata utajiri siyo suala la bahati, ni sayansi kama zilivyo sayansi nyingine

    MTU ALIE RITHI UTAJIRI HUYU NAE KABAHATISHA TU
  2. L

    UKAWA na Lowassa ni waongo sana kuliko Al Sahaf wa Iraq

    Rock spider acha siasa za udini wakatholic wanahusianaje na ccm??
  3. L

    Hivi CCM nyinyi tu ndio mnajua kutawala?

    Yaani mi napata wakati mgumu kuona mtu atoke zanziber kuja kupiga kura ya meya.
  4. L

    Soma hapa ujue kwanini wananchi wanataka kuiadhibu CCM jumapili

    mabadiliko ni muhimu kuliko kitu chochote tuko pamoja ccm sina hamu nayo,nikiona ile rangi ya t-shirt zao nasikia kutapika
  5. L

    Kweli ni wakati wa mabadiliko, hadi saiti!

    Wana ccm msijifariji vijana wamebadilika na wanataka mabadiliko,ccm hamtoboi bhana,we kila unapopita edo edo,mitaa saba ya huku kwetu wapo ukawa na wenyeviti wa hapa ni chadema nyie ccm mtatokea wapi?
  6. L

    Amani ya nchi ni muhimu zaidi kuliko wanasiasa

    Amani ya nchi ni muhimu zaidi kuliko matakwa ya wanasiasa. Uvunjifu wowote wa amani utaligarimu taifa kuijenga upya amani itakayovunjwa. Wanasiasa fanyeni siasa zenu amani yetu mtuachie. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
  7. L

    Kikwete: Atakayekaidi na kubaki kituoni kulinda kura "HATAVUMILIWA"

    kura lazima zilindwe kwani hakuna uaminifu wa uhakika
  8. L

    Kwa wana UKAWA tu – Man 2 man...

    Mtoa mada hata sisi huku kwenye vibanda vya chai tuna wahamasisha mpaka wanakubali kweli Lowasa anaweza.Watu 6 tumeshawavua gamba tumewavalisha gwanda.
  9. L

    Tarehe 25/10/2015 tutajua nani lofa nani msomi

    Natamani Sana kumuomba Mungu anifikishe tarehe 25/10/2015 kupiga kura na kujua kuwa nani Lofa na nani msomi.Kauli za kuitwa malofa kunanipandisha hasira nizidi kuchukia ccm na siasa za kibabe za mtu kupanda jukwaani na kutamka atakavyo, kwani tutafanya nini haya bhana mnyonge mnyongeni haki...
  10. L

    Hawa ndio wachawi wa CCM

    Tumekuelewa mkuu mabadiliko lazima
  11. L

    Hali mbaya UKAWA

    Ukiona mtu wa ccm anaandika vitu vya hovyo ujue ameshachanganyikiwa.ukawa wako vizuri hawanaga akili mgando
  12. L

    Magufuli ashindwa kuujaza uwanja Kibondo

    ccm wataisoma namba .
  13. L

    Nina maswali haya juu ya CCM

    Hawa jamaa ma ccm wamegeuza chama kama taasisi ya familia na kusahau kuwa chama ni cha wananchi wote.Tarehe 25/10/ itafahamika nani lofa nani msomi.
  14. L

    Dr. Magufuli kama wewe ni muaminifu na unajiamini basi fanya haya ili watanzania wakuamini

    Mtoa mada umewaambia ukweli hata mimi nahudhuriaga kuwashangaa wasanii ila kichinjio changu ni kwa EL maana hawa ccm nawaona wapo fiesta.
  15. L

    SAY YES to LOWASSA,Wote wapenda mabadiliko tujoin hapa

    aisee kama ni gia aisee hii ilibadilishwa angani chezea lowassaaa
  16. L

    Mwigulu: Lowassa anajua atashindwa, ameanza kuandaa watu kisaikolojia

    teh,teh,teh,hakika sera zimewaishia wanakazi ya kumchafua Lowassa mbona zimebakia siku chache atakuwa bosi wenu
  17. L

    Kafulila aishambulia ACT-Wazalendo Kasulu; asema Machali ana tatizo kichwani

    Kafulila habar ya mjinni ukawa mwendo mdundo.
Back
Top Bottom