Search results

  1. R

    Hili linanitatiza

    ni mume wangu wa ndoa ya kanisani yenye miaka 4 na watoto 2
  2. R

    Hili linanitatiza

    asanteni kwa ushauri wenu, ntaufanyia kazi
  3. R

    Hili linanitatiza

    hicho ndo kinanichanganya kabisa, kwamba pesa yake ye anafanyia nini? mara nyingi nafikiria sana na kuona its so unfair mwishowe naishia kuwa stressed na kuwa very bitter
  4. R

    Hili linanitatiza

    madai yeker yuko busy na kazi, na hilo la finance support ndo kabisa haeleweki anaona tu yuko sahihi na kuona mimi ndo mlalamishi
  5. R

    Hili linanitatiza

    nimeshaongea naye
  6. R

    Hili linanitatiza

    Wapendwa, nakwazika na hapa nimekuja kutafuta advice na vilevile kufunguliwa akili. Nina mume, nikahamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine yeye akabaki dar, nilikuwa niko tayari kuacha kazi ili mradi tu tusitengane, au asione nimejali kazi zaidi yake, lakini alinitia moyo na kuniambia niende...
  7. R

    Sikinde ya Kweli!!!!!

    WALIKUWA NA RAHA, AT LEAST mUNGU ALIWAPA OPTION KWA KUWA MAGONJWA HAYO YANATIBIKA
  8. R

    Kuna Raha zaidi ya hii???!!!

    kumbe mambo kama haya yanaruhusiwa huku eeh, mi mgeni jamani.
  9. R

    Hodi! I am rain.

    I love being here
Back
Top Bottom