Nadhani hata hiyo mahakama ina matatizo. Navyojua mimi maamuzi ya usimamizi wa mirathi hupendekezwa na kikao cha wanandugu iweje huyo mama afungue kesi ya kuwa msimamizi bila kushirikisha ndugu?
Lengo la Shibuda kuingia CDM ni kuja kuharibu tu alitumwa kazi maalum naona amekamilisha sasa anaanza vurugu. Uongozi wa CDM uko imara atapiga makelele tu huyo wananchi wanaelewa uvuvuzera wake huo hajaanza jana wala juzi asitishe chochote
Nadhani Lusinde atakuwa na matatizo ya akili akapimwe. Kwa kitendo alichofanya anatakiwa kushughulikiwa. Kama hizo ndo sera za ccm hatufiki. naona wameamua kuweka hadharani tabia zao sasa
Huyo anaonekana hana mpango na wewe. Cha kufanya lea mimba yako tu. Kazi unayo utamudu kulea mtoto. Hizo ni changamoto za maisha hata kwetu wapo wa namna hiyo hata usiumize kichwa na kujipa presha yeye afurahie maisha wewe uteseke kwa lipi?
Hiyo sawa kabisa kwann magari ya serikali yatumike kwa shughuli za chama? Hakika state-party fusion haitakufa bora wananchi wamejionea wanyewe. Wadau mkipata wasaa pitieni makala ya nguli wa mambo ya siasa wa udsm Dr. Makulilo katika utafiti wake Tanzania: a de facto one party state?. Nawasilisha
Kinachokushangaza ni kipi hapo? Shanga zina tatizo gani kwani? Shanga ni urembo kama urembo mwingine hauzii mtu yeyote kuvaa ama mwnafunzi au vinginevyo. Kama mtoto mdogo anavalishwa huyo wa form 3 kwanini asivae?
Umetoa maelezo mazuri ulipochemsha ni kutoa mifano ya wazungu. Acha kuchanganya tamaduni wewe usiige. Hata hivyo mila zetu ni nzuri mwanamke lazima amuhudumie mume ipasavyo
Sababu za kutoaminika kwa utafiti wa Synovate
Sunday, 07 August 2011 11:49
Alexander makulilo
TAFITI za kura za maoni ni muhimu sana katika nchi inayofuata mfumo wa demokrasia. Hii ni kwa sababu tafiti hizo hutoa nafasi kwa wananchi kutoa maoni yao juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.