Search results

  1. T

    Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

    kweli naungana na wana JF kwa kumwambia rfki yetu kuwa hiyo kitu haisomi kilomita hivyo avumilie tu na pia ukiona demu wako anamegwa na rafiki yako ujue unao upugufu wa kummega haumtoshelezi ndo maana anatafuta tiba mbadala.
  2. T

    Mwanaume mwenye nguvu za ajabu

    hii kali kweli
  3. T

    Wanaume Nisaidieni

    michelle hapo mambo poa mie nijuacho ni kwamba wasichana wengi wakiwa bed huwa wanajisahau, mwonyeshe mwanaume kuwa unaweza lkini ukilemaa harudi tena hivyo nawaasa dada zangu jitumeni vinginevyo hata mkiolewa mtaachwa ndani na mume atakwenda kutafuta amridhishaye
  4. T

    Ukiambiwa hivi utaanzaje?

    Kamarada umenifurahisha kweli kwamza umpeleke milembe hospitali ya vichaa, hiyo kali. Mie ningemwuliza swali ili anipe jibu, kwani kutongoza ni kitu gani? akishajibu basi ndo mwazo wa yote ila ni kwa pale tu nipapendapo.
  5. T

    kwanini mademu wanasikia kiu

    michelle unamsingizia kama hafiki ten minutes basi mgonjwa huyo kawaida ili wwe uridhike kabisa ina takiwa min 45minutes au one hr hapo kidogo utakuwa unamkumbuka otherwise utamkandia tu
  6. T

    unamuombaje Penzi mwenzio

    Hauna haja ya kuomba yeye mwenyewe anajirengesha kwa vitendo vyake na maneno mpaka unaona sasa imewiza. Ukiwa unaomba unakuwa inaonyesha yeye hayuko tayari
  7. T

    Msichana wangu

    kweli kabisa huyo inambidi aachane na dhambi ili asije akaumia
  8. T

    Udadisi tu...

    nyumba ndo tunafaidi bwana usiambiwe, kama haukubali kubali siku moja uwe small house utaona utamu wake
  9. T

    Nilianza mwaka kwa kufumaniwa.

    Hivyo sasa vichekesho, ulitokaje uchi ukakimbilia home kwako? cha kusahangaza mtu kasimama mlangoni ulipitia wapi?
  10. T

    Wanawake msitupime imani kiivyo....

    Nampongeza jamaa kwa kufanya hivyo siku nyingine harudii tena kumtuma mtu kwani atajua sasa anawapa nafasi ya kumpata mumewe.
  11. T

    Houseboy

    dada hayo usemayo yafanye kwa uangalifu mkubwa vinginevyo yatakurudia mwenyewe, be careful please utavunja ndoa mda si mwingi otherwise mwunjeshe
  12. T

    Dada wa Damu!

    Huyo ni shetani kabisa mwambie amkemee kwa nguvu zote, kwani wanawake wameisha mpaka amtamani dada yake?
  13. T

    Kufuli Jekundu

    :a s 465:
  14. T

    Sukari....

    sukari tamu jamani hasa igusapo ulimu mwenyewe wasikia viungo vyote vyalegea kwa utamu haaahahahahah
  15. T

    Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

    michelle mechi inapokorea watu wote hukimbilia golini na hapo ndipo ugomvi na utamu vinapozidi. most of the mens are strugling for goal.
  16. T

    Hivi kwa nini watu wanapenda sana kupiga chabo

    ukipiga chabo unafurahia tena unaona raha kuliko anayecheza, mfano unapoangalia picha u enjoy the most kuliko wale wahusika wenyewe
  17. T

    Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

    afrodenzi umeshapata majibu yote na yanakuridhisha? wewe binafsi unapenda wanaume wanaochezje?
  18. T

    Kwanini wanaume mnapenda kucheza nusu uwanja?

    kama unajua kucheza na ufundi mwingi ni pale golini na mashabiki ndipo wanafurahia kuona jinsi mpira unavyo ingia golini , goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo hatimaye mpira unaanza kati
  19. T

    ina ukweli wowote

    Jamani wandugu, nami japo mgeni naomba nichangie, mie kwa mtazamo wangu, unapashwa ujiamini kwanza na pia kama hauridhiki na kile ukipatacho hauzuiwi bwana kutafuta raha uipendayo maana utamu wa muwa aujuaye mtafuna na utamu wa mwanamke au mwanaume ajuaye ni mlaji au mliwa( if u do me i do u)...
  20. T

    Anataka mimi tu

    dada changamaka vinginevyo kama mdau alivyosema utakuta mwana si wako, kwanza kama hajachakachua hata mara moja basi haoni umuhimu wa kukupigia marakwa mara. wwe kama unampenda kikweliiiiiiii jitahidi kumuweka karibu yako utaona mwenyewe mpaka itakuwa kero kwako
Back
Top Bottom